Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,138
cheki website yao mkuu utapata yote maelezo.naomba kuuliza, hivi hawa wanaongia katika world records za guiness huwa wanalipwa au ndo wanapigishwa picha tu na taarifa kutolewa halafu basi? Guiness inafanya chochote kuwasaidia kwa mfano walemavu kama hawa au yule mtu mfupi kabisa duniani, etc?