unatesa watu kwa njaa unasingizia uhakiki! hii zambi kubwa sana wewe so mpenzi wa Mungu. ila wewe ni mpenzi wa she**ni. wanafunzi nao unawaambia uhakiki unataka wale nini au wakafanye kazi waache kusoma!! semista inaisha kwa boom moja tu! duh! kweli tumempata raisi wa wanyonge[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24].. njia ya mwongo ni fupi
Huyu mzee hadi ikifika 2020 atakuwa hana hamu na huo wadhifa maana kila kona yy kila bandiko mitandaoni yy waliokuwa wanamsifia naona km nguvu zimewaishia huku wanaoponda wanaongezeka kwa kas ya ajabu hakiyanani.........