SYRE BOY JOSEE
Member
- Sep 2, 2013
- 10
- 2
Angalie sehemu za kuwekeza na nyie alah!
"Mwanamme kajenga nyumba kwenye hifadhi ya barabara" au "Amejenga nyumba ya familia yake ukweni"
Aiseeh! Haki kwa misingi ipi? Kwani walivyoanza mahusiano walikubaliana kuwa watakuja kuoana? Walisaini mkataba? Au huyo kaka aliamua kumsaidia tuu?? MAPENZI na UFADHILI ni vitu viwili tofauti!! La sivyo TENDA WEMA UENDE ZAKO usingoje shukurani!!
ingekuwa mimi ndo nakusomesha yaan namaliza kazi tangu upo sekondari, kama mke wangu vile halafu ukifika huko chuo wala roho hainiumi...!
Ungepaswa kusema "SIJAKUELEWA"hujaeleweka!!!