Kweli hii ni bahati yangu

Kimbia tena usigeuke nyuma.
Huyo mumewe akikudaka hataelewa kuwa ulikuwa hujui.
 
Katika dunia hii hakuna mwanadamu yeyote yule asiye dhaifu katika mambo kadhaa,

Kila hatua ambayo mwanadamu kamili lazima aipitie ina changamoto zake,
Si jambo rahisi kukwepa hii hatua.

Na kwa jinsi ulivyotoa maelezo yako
Nimechukizwa sana na kauli yako
Ya kuwaita wanawake " Kobe "

Sio jambo jema kumtusi au kumfananisha na kiumbe ama kitu ambacho havina uhalisia.

Unaposema hivyo kuwa wanawake wana dhambi na kukashifu kuwatolea matusi.
Haipendezi hata kidogo,

Hakuna mwanadamu aliyekamilika
Mwanadamu yeyote ni dhaifu.
Sio wanawake tu, msipendee uonevu muda mwingine.

[emoji16] [emoji16] [emoji95] [emoji95] [emoji379]
 
Kwahiyo kiongoz kwamchezo huo uliokuwa unaufanya unahisi ulikuwa unakiweka kiungo chako gani rehani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…