Kweli hii ni bahati yangu

Kumbe ndio ww ulikuwa unaongea huku unatetrmeka,acha nikufatlie,nimekaa kimya ukajua sjui mchezo wenu!!
 
uyo mwanamke muuaji unawezaje kuficha haujaolewa [emoji28][emoji28] ktk vitu siwezagi danganya ni swala la kuolewa pole sana kwa yaliyokukuta
 
Wanawake ni viumbe wa kwenda nao kwa akili sana kama hapo ingetokea mkafumaniwa anaepigwa ni mwanaume halafu yeye anakuwa pembeni analia tu! so crazyness
 
Haaahaaa! Mtoa mada unazungukwa. Demu atakuwa anawapanga. Hana mume wala nini! Huo ni mchepuko wake ila kwa kuwa mligongana ndio mana kasingizia ni mumewe ili kukukamata na kukuvunja nguvu usihoji kwa nini anakusaliti! Zindukaaaaa!!!!!
 
mkuu Kiranga umeadimika sana Kule jukwaa LA intelijensia
 
Haaahaaa! Mtoa mada unazungukwa. Demu atakuwa anawapanga. Hana mume wala nini! Huo ni mchepuko wake ila kwa kuwa mligongana ndio mana kasingizia ni mumewe ili kukukamata na kukuvunja nguvu usihoji kwa nini anakusaliti! Zindukaaaaa!!!!!
Hapana ndugu yangu huyu ni mke wa mtu kabisa nilikuwa nahisi sababu kuna kipindi niliwah kuona picha zake akiwa amevaa nguo ya harusi lkn alinigomea ila leo ndio nimethinitisha kabisa
 
Binafsi nikikufuma na mke wangu, lolote baya saana laweza kukutokea
 
Siku hizi magume gume yanazidi kuwa mengi,ehhhh mungu ninusuru na laana hizi!!
 
Mungu anakuoenda ndio maana umejua mapema. Amekuepusha na balaa...
Sasa we achana na hayo mambo. Kazana na kitabu... wakati wakupata mke ukifika.. Mungu atamleta kwa njia ya ajabu sana.
 

Hahaha kuna video niliiona jamaa analiwa 0713 baada yankukutwa na mke wa mtu gesti nipe namba yako nikutumie whatsapp maana kuna wanaume wengine hawapendagi ujinga na mali zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…