Bahati kuokota kokwa ukazan dodo eeee ngoja nije nikumalize.Habari wana jf . Mimi ni mwanafunzi wa chuo fulani hapa tanzania kiukweli nimebahatika kupata maichana au tuseme demu sasa tumekutana kimwili mara kadhaa hivi ila tatizo nilikuwa sijua kama ameolewa yaani ni mke wa mtu hilo swala nimekuwa nikihisi lakini uhakika nimepata leo asubuhi hii nilipompigia simu asubuhi ya leo na kupokea Mumewe kwa kweli niliongea nae kistaarabu na baadae alipokuja mkewe ambaye ndie alikuwa demu wangu nimeongea nae nikamuuliza kwa uzuri huyo aliyepokea simu ni nani akanijibu ni mumewe na ilikuwa ngumu kudanganya kwa sababu alikuwa nae karibu . Nimeandika haya yote kwa kusudia kusema sio wote wanaotembea na wake za watu wanafahamu ila kwa kuwa leo nimefahamu kwakweli siitaji tena mazoea na huyu mwanamke kwani anaweza ponza kiungo changu chochote katika mwili wangu , cha kushangaza alikuwa anadai anataka kuzaa na mimi dah sijui yangenikuta ningejificha wapi mimi jamani ila nshafahamu basi sitaki tena mazoea nae
Habari wana jf . Mimi ni mwanafunzi wa chuo fulani hapa tanzania kiukweli nimebahatika kupata maichana au tuseme demu sasa tumekutana kimwili mara kadhaa hivi ila tatizo nilikuwa sijua kama ameolewa yaani ni mke wa mtu hilo swala nimekuwa nikihisi lakini uhakika nimepata leo asubuhi hii nilipompigia simu asubuhi ya leo na kupokea Mumewe kwa kweli niliongea nae kistaarabu na baadae alipokuja mkewe ambaye ndie alikuwa demu wangu nimeongea nae nikamuuliza kwa uzuri huyo aliyepokea simu ni nani akanijibu ni mumewe na ilikuwa ngumu kudanganya kwa sababu alikuwa nae karibu . Nimeandika haya yote kwa kusudia kusema sio wote wanaotembea na wake za watu wanafahamu ila kwa kuwa leo nimefahamu kwakweli siitaji tena mazoea na huyu mwanamke kwani anaweza ponza kiungo changu chochote katika mwili wangu , cha kushangaza alikuwa anadai anataka kuzaa na mimi dah sijui yangenikuta ningejificha wapi mimi jamani ila nshafahamu basi sitaki tena mazoea nae
Sorry
bro kama niwewe kwakweli
ukazuga wewe ndio group leader unakusanya asignment nn?Hapana sikujitambulisha direct asee ingekuwa hapatoshi
Hakuna kilicho rahisi, kuna framework, root cause, motive na explanation hapo.Aaah sio kirahisi hivyo sasa
Kusomesha mwanamke ni sawa na kujenga nyumba barabarani. Mwanamke hasomeshwi ndugu maana hawa kobe hawabebeki jamani nakumbuka nilisoma chuo fulani na mke wa mtu tena bwana ake tunafahamiana sana lakini mwanamke kwakua alikua mzuri basi alishindwa kukwepa vishawishi mara akaanza kufyatuliwa na lecture fulani na akawa anampa favour sana,wanafunzi nao wakawa wanamfyatua kila wakienda viwanja na mwisho wa siku akapata kijana mmoja wa Sinza akamvisha Pete tayari kwa ndoa mara baada ya kumaliza masomo lakini bahati mbaya akamvimbisha tumbo mapemaa ikabidi asitishe masomo akalee kwa bwana ake na bwana ake alijua ni mimba yake kwakua sometimes alikua anakuja kukutana na mkewe kwaajili ya kutunza ndoa lakini ndio ivo ndoa ilishaingiliwa na wahuni muda mreeefu. Mwanamke amezaa mtoto wa kike yani ni copy kabisa na jamaa,Wanawake mnadhambi sanaNayeye ni mjinga atasomeshaje mwanamke ilihali wanaume wote tushakubaliana hapa