Sasa ananyanyai madaluga kama Steven Kabunda 'Ninja':
Tribunal gives Ronaldinho 1-match ban
SAO PAULO -- Brazil's sports tribunal has suspended Ronaldinho for one game for a dangerous kick that nearly hit an opponent in the face in a Brazilian league match.
Ronaldinho banned 1 match for dangerous kick - ESPNFC
Asante, aisee nazeeka vibaya!
Naona mkuu Companero umeamua umwamshe mfuasi wa Dinho mheshimiwa sana Gang Chomba.....
Ngoja tumsikie atasemaje hapa.
Chomba eti ya kweli hayo,mbona wanakusakamasakama Ac Milan nako moto,sasa itakuwaje kwako,waimbie nyimbo ya sikinde nachechemea kama deni semeni niwalipe leo :nerd:
Habari njema kwako mchezaji wako wa zamani beki 3 kata K, Kakhaber Kakha Kaladze anachukua uwaziri kwao Georgia soma hapa Ex-Milan star turned Georgia minister - SuperSport - FootballMSAFIRI KAFIRI...
Najuwa Duniani uhangaike ili ufanikiwe
Nami nitasafiri kila pembe iko siku Mungu atanisaidiaaa...
Mwenda pole hajikwai, akijikwaa haanguki, akianguka haumii, kuumia kwake kidogo tu
Halafu unapotea sana mkuu
Habari njema kwako mchezaji wako wa zamani beki 3 kata K, Kakhaber Kakha Kaladze anachukua uwaziri kwao Georgia soma hapa Ex-Milan star turned Georgia minister - SuperSport - Football
Wanafuata nyayo za BerlusconiTeh teh huku George Wear kile Khaladze...
Wanafuata nyayo za Berlusconi
Oyaa Kaka karudi kwenye kikosi cha Selecao, kapiga bao - Ronaldinho wala hafikiriwi kurudishwa!