Kweli dunia tambala bovu

Picha zilikiwa zinagoma kuingia nimemsaidia mleta uzi kuzisukumia ndani, jitahidini msilie...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....! Umezisukumia ndani? Mojawapo ni hiyo walao wanga na mafuta kwa wingi?. Or you mean β€œmzazi aliemsomesha mtoto kwa gharama kubwa,bado yuko shambani kwa jembe la mkono,ili hali huyo mtoto ameanza kazi,lakini hajali hao wazazi wake waliotumia 3/4 ya kipato chao kumsomesha,lakini mtoto kila siku anafanya sherehe birthday dar?
 
Mbona na matukio kadhaa ulishawahi kutuletea hapa dada yangu; au hayo hayahesabiki?

Hizo picha nilizoweka hapa ni za mtoa mada sio zangu. Mie nna matukio mengi tuu mwaka huu kubwa lao ni Captain kushika usukani...
 
Hizo picha nilizoweka hapa ni za mtoa mada sio zangu. Mie nna matukio mengi tuu mwaka huu kubwa lao ni Captain kushika usukani...
Captain yupi aliyeshika usukani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…