Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,511
- 40,598
Kweli dunia hii hakuna cha bure.....
Kaniachia mzigo wote nipige ninavyotaka,nikajiuliza mbona leo amejiachia hivi? Baada ya masaa mawili ananiletea changamoto za kutatua. Ama kweli hakuna cha bure;ukiona mtu amekuganda ujue kuna kitu unatakiwa utekeleze.