Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,521
- 6,517
Dunia ina mambo we si pendeshee ufuatilii mm mpaka boss wangu aliamua kuhamisha account ya kampuni NMB jamaa wanakata tena ukitaka kucheka we jiunge internet bankingMimi natumia CRDB kwa muda na sijaona mengi ya yaliyosemwa na wadau hapo juu. Nashauri kwenda Bank iliyo karibu na uongee na Branch Manager au wahudumu.
Ahsante
Nilitaka kuukiza swali kama hili mkuuJe hao Equity wana huduma ya mobile banking.
Simshauri mtu ahamie benk hii. Hata mikopo kwa wafanyakazi wenye accounts zao hapo ni ngumu sana. Pia mimi ku renew ATM card ili chukua miezi mitatu kila napoenda najazishwa form upya tena pale makao makuu samora. Nlitoa pesa zangu zote nikawaachia kadi na account yao.Njoo huku DTB hakuna uswahili
Kweli kabisaSimshauri mti ahamie benk hii. Hata mikopo kwa wafanyakazi wenye accounts zao hapo ni ngumu sana. Pia mimi ku renew ATM card ili chukua miezi mitatu kila napoenda najazishwa form upya tena pale makao makuu samora. Nlitoa pesa zangu zote nikawaachia kadi na account yao.
Mkuu umetoa kwa njia hipi? Ya simu?Jamani, kulikuwa na mada humu zikilalamikia makato yanayofanywa na CRDB bank, mpaka wengine kutishia kuhama bank hiyo na kutafuta huduma kwenye mabenki mengine. Kwa kweli leo nimepata fresh na kesho itabidi niende kwenye tawi lao nionane na manager nipate ufafanuzi juu ya hili...
NdioJe hao Equity wana huduma ya mobile banking.
BancABC Ni wazuri tatizo ni huo mlolongo wa viambatanisho unapofungua account tuYes makato ni 0 isipokuwa kuangalia salio, pia wanakupa kahela fulani mwisho wa mwezi kama ni mwekaji wa pesa kila mwezi.
Hata kutoa pesa kwenye matawi yao ni hela ndogo sana ila ukitolea ATM nyingine ni 3000.
Mkuu fatilia vizur crdb wamekua wanazingua Sana na hata ukilalamika kwenye hayo matawi yao hakuna jibu lolote la maana zaidi ya kuzungushwa tu.,..inshu ukiona watu wengi wanalamimika lazima Kuna Jambo na Wala sio hujuma.Mimi natumia CRDB kwa muda na sijaona mengi ya yaliyosemwa na wadau hapo juu. Nashauri kwenda Bank iliyo karibu na uongee na Branch Manager au wahudumu.
Ahsante
Huenda ni mpango wa serikali kupata pesa maana nasikia huko hazina kumekauka sababu ya ufisadi rasmiJamani, kulikuwa na mada humu zikilalamikia makato yanayofanywa na CRDB bank, mpaka wengine kutishia kuhama bank hiyo na kutafuta huduma kwenye mabenki mengine. Kwa kweli leo nimepata fresh na kesho itabidi niende kwenye tawi lao nionane na manager nipate ufafanuzi juu ya hili...
ipoJe hao Equity wana huduma ya mobile banking.
Wanayo.tena bora kuliko.Je hao Equity wana huduma ya mobile banking.
Bank gani hawana makatoDuh mkuu pole sana! Mimi nikipokeaga tu pesa kama ni usiku kwenye hizi bank kubwa mbili huwa nalala bila amani, asubuhi kukicha tu naenda kuhamishia kuna bank hawana makato kabisa hata 100.