Kweli CHADEMA ni chama komavu!!!

Kweli CHADEMA ni chama komavu!!!

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
17,276
Reaction score
23,569
Nasema:

Chadema si Zitto, aliondoka bado Chadema imeendelea kupendwa

Chadema si Dr Slaa, ameondoka leo hii umati wa Chadema ni mkubwa kuliko alipokuwa katibu mkuu

Chadema si Mbowe, hata yeye akiondoka Chadema kitaendelea kuwa chama cha UMMA wa watanzania

Watu hawajui tu, Chadema leo hii ni imara zaidi ya ile ya jana kabla ya mzee Slaa kuiponda

Hakuna kutetereka, nguvu ya umma inasonga mbele hadi ukombozi upatikane!
 
Angeondoka mwanzo labda. Chama kimeendelea kupata mahaba zaidi baada ya yeye kuondoka.
 
Hao wote ulowataja wamepewa umaarufu na chadema hivyo chadema ni taasisi na sio mtu.
 
Nasema:

Chadema si Zitto, aliondoka bado Chadema imeendelea kupendwa

Chadema si Dr Slaa, ameondoka leo hii umati wa Chadema ni mkubwa kuliko alipokuwa katibu mkuu

Chadema si Mbowe, hata yeye akiondoka Chadema kitaendelea kuwa chama cha UMMA wa watanzania

Watu hawajui tu, Chadema leo hii ni imara zaidi ya ile ya jana kabla ya mzee Slaa kuiponda

Hakuna kutetereka, nguvu ya umma inasonga mbele hadi ukombozi upatikane!
Khaa!! haya utayajua vizuri sana baada ya Oktoba usingizi ukiisha
A%20S%20shade.gif
 
Nasema:

Chadema si Zitto, aliondoka bado Chadema imeendelea kupendwa

Chadema si Dr Slaa, ameondoka leo hii umati wa Chadema ni mkubwa kuliko alipokuwa katibu mkuu

Chadema si Mbowe, hata yeye akiondoka Chadema kitaendelea kuwa chama cha UMMA wa watanzania

Watu hawajui tu, Chadema leo hii ni imara zaidi ya ile ya jana kabla ya mzee Slaa kuiponda

Hakuna kutetereka, nguvu ya umma inasonga mbele hadi ukombozi upatikane![/QUOTE
Slaa kalee wajukuu
 
Muhimu CCM itoke madarakani hata tukitawaliwa na kaburu poa tu.Rais ni Lowassa.
 
Nasema:

Chadema si Zitto, aliondoka bado Chadema imeendelea kupendwa

Chadema si Dr Slaa, ameondoka leo hii umati wa Chadema ni mkubwa kuliko alipokuwa katibu mkuu

Chadema si Mbowe, hata yeye akiondoka Chadema kitaendelea kuwa chama cha UMMA wa watanzania

Watu hawajui tu, Chadema leo hii ni imara zaidi ya ile ya jana kabla ya mzee Slaa kuiponda

Hakuna kutetereka, nguvu ya umma inasonga mbele hadi ukombozi upatikane!

We utakuwa umesilimu juzi tu! Wenzio humu tunamiaka na dhambi ilikuwa kumsema slaa.

Umati unahuona ni waumini wameshatiwa sumu na maaskofu wao baada ya kuvuta mtonyo. Chadema sio imara hivyo ni udikteta tu, kuna pimbi anaitwa makene alikuwa anakanusha kila kitu humu na yote yanatimia sasa kala ganzi tu.
 
Ndio maana ya people's power!
Ni kama ile hadithi ya Kinjekitile na Majimaji! Muasisi wa majimaji alikuwa Kinjekitile lakini ilifikia pahala ambapo Kinje hakuwa na udhibiti tena wala kusikilizwa na mtu. Majimaji yakawa makubwa sana kuliko Kinje! Chadema ni mpango wa Muumba kuikomboa Tanzania kutoka mikononi mwa mfumofisidi. Hapa Dr hasikilizwi tena. Hapa ni pipoooooooz tu ndio wanaamua mwelekeo wa mabadiliko kwa kwenda mbele. CHAGUA MABADILIKO, CHAGUA UKAWA, CHAGUA LOWASSA.
 
Chadema ni chama cha umma ndiyo maana kitazidi kupendwa na umma kwa sera zake haijalishi nani anaondoka kwenye chama
 
Back
Top Bottom