Kweli CCM vimeo..

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
4,949
Reaction score
5,399
Kumchagua Abdalla Bulembo kuwa mwenyekiti wa wazazi kunaonyesha kweli CCM vimeo. Jamaa alikosa sifa za kuiongoza Villa Squad kwa kuwa hana elimu ya form 4 hivyo kamati ya Tff ikampiga chini matokeo yake Villa Squad ikaendeshwa bila Mwenyekiti. Sasa huyohuyo Bulembo anapata uongozi ndani ya CCM swali la kujiuliza Je CCM na Villa Squad ipi taasisi kubwa yenye kuzingatia kigezo cha elimu?? Ni hayo 2

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Usihofu villa...whatever ni timu ya mpira na hichi ni chama. nivitu viwili tofauti. Anaweza kuwa huko kwenu villa mlimkataa kwa mizingwe na sio maneno yako unayo yasema.
Siasa za mpira nitofauti na mizingwe ya kwenye soka tofauti. Mwache afanyekazi akishindwa basi watamtoa. In mean time sit tight bro.
 
kama huko kwenu form four ndiyo kigezo cha kupata uongozi, HUku kwetu pesa ndiyo inaamua nani awe kiongozi
 
kama huko kwenu form four ndiyo kigezo cha kupata uongozi, HUku kwetu pesa ndiyo inaamua nani awe kiongozi

nasindiomaana kachaguliwa japo ana form four, unaluka mkojo na kukanyaga.......
hata kama form four amechaguliwa na ataongoza nyie atamlie machozi ya damu jamaa tayari kachaguliwa sasa kaeni kimya.
sikuhizi hauchaguliwi kwa mikono mitupu. Yaani tukupe kura iliukale bila ya kulipia. Cheu mkwanja upate mkwanja,,,that fact bro.
 
chama cha mafisadi, chama cha majambazi,..... endelea hapo chini
 
Chama cha magumashi, chama cha maswahiba.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu CCM sera yao kuu ni ufisadi, so hayo ya elimu sijui uadilifu kwao ni misamiati tuu
 

jamaa mbona hata udiwani wa kata ya kijitonyama alikosa 2010 pamoja na kutumia sana vijihela hela vyake?

alishindwa kuwanunua wanakijitonyama lakini imekuwa very simple kwake kuwanunua wana-CCM wenzake.
do we need to say more about CCM??
 

Mkuu CCM haihitaji usomi au hata uwezo wako wa kuongoza, pale ni pochi yako tu ndo inaongea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…