Kweli CCM Tunachukiwa!

Hata huku Mwanza habari Ni lowassa Tu,hakuna magufuli wala makufuli
 
Wanachama wa CCM msijidanganye. Miaka 54 kwenye utawala bado ninyi na sisi tunakunywa maji ya malambo pamoja na ng'ombe. Hamchukiwi ila utawala wenu umechokwa.
 
Mlianza kujichukia nyinyi wenyewe sasa mnataka nani awapende
 
Mkuu sema watu 2 tu ndiyo walionyesha kutoijua CCM! hakuna anayoipenda CCM hata 1
isipokuwa wasioijua ndio wanaonekana kama wanaipenda!
 

Hakika mwaka wa miujiza....ni mwaka 2015.

CCM mlizoea kudanganya...kwa miaka 54..sasa mwisho umefika....

vipofu wanaona.....

viziwi wanasikia....

viwete wanatembea....

wajinga na wapumbavu wooote wamekuwa werevu..kila mtu atapiga kura...


mwaka huu hata washirikina wataandamana kupiga kura za haki.

Hakika...Tanzania inazaliwa upya...asie amini asubiri october 25.

MUNGU IBARIKI TANZANIA...



MUNGU MBARIKI LOWASSA.....
 
Jana kuna m2 nmemtoa meno kisa kuisifia ccm akanipeleka polisi mkuu wa kituo akauliza chanjo jamaa akasema ccm mkuu wa kituo akasema wewe mpuuz kwel sijawai kuona kijana bwebwesa kama wewe..na kesi ikaishia hapo mkuu wa kituo alinilaumu sana Kwa nn ckumtoa na jcho.
 
.
-Chini ya CCM wanafunzi wanakaa chini

-Chini ya CCM huduma ya Maji ni shida

-Chini ya CCM rushwa na ufisadi umekita mizizi.

-Chini ya CCM shilingi imeporomoka na kufariki.

-Chini ya CCM huduma ya Afya ni shida

-Chini ya CCM Wajawazito wanajifungulia chini mahosptalini

-Chini ya CCM gharama za maisha zimepanda kukithiri.

-Chini ya CCM ajira hakuna kwa wasomi.

-Chini ya CCM viwanda vimekufa

-Chini ya CCM mashirika ya Umma yamekufa.

-Chini ya CCM Rasilimali zinatumika hovyo.

-Chini ya CCM Twiga wamepanda ndege bila kuonekana na rada.
Hawa twiga sijui walikuwa na Passport!

-Chini ya CCM waandishi wa habari wameuawa.

-Chini ya CCM maelfu ya wanavyuo hawana mikopo

-Chini ya CCM Elimu ya kuanzia shule ya Msingi hadi Chuo kikuu imeshuka kiwango cha ubora.

-Chini ya CCM maisha yamekuwa magumu zaidi

-Chini ya CCM ni asilimia Chini ya 20 ya watanzania wanaumeme wa uhakika

-Chini ya CCM foleni kwenye majiji ni shiiiiiiiida

-Chini ya CCM kilimo hskina tija kabisa na umaskini umewatafuna watanzania wengi

-Chini ya CCM wafanyakazi wameendelea kua na mafao duni na maxingira duni Huku kodi ikiwa juu

-Chini ya CCM wafugaji na wakulima wameendelea kuchapana

-Chini ya CCM mikataba yote ya madini, Gas, Alma's na kadhalika imeendelea kua Siri

-Chini ya CCM rasimu ya Katiba ya wananchi ilinyofolewa

-Chini ya CCM deni la taifa limeendelea kupanda kwa kasi ya sjabu

-Chini ya CCM ajira kwa vijana imekuwa shiiiiiiiiiiiiida

Peleka ujumbe huu Twitter, Instagram, Facebook, JF, mwanahalisi forum


-NIMEJIANDIKISHA
-Nimejipanga
-NITATUMIA KIKATIO CHANGU VIZURI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…