Kweli CCM hamjui yaliyojificha!!

Kweli CCM hamjui yaliyojificha!!

ndai

Member
Joined
Jun 21, 2014
Posts
25
Reaction score
10
Wadau!

Kuna baadhi ya watu hasa CCM, wanajifanya hawajui kuwa wamefanya mengi maovu, hawajui watu wamechoka, hawajui kuwa Tanzania hakuna amani bali uoga, kidogo niwambie kuwa, wapo vijana wa kitanganyika na Zanzibar ambao wamepanguka, wameshakata tamaa na wako tayar kujiunga na harakati za Al-shabab.

CCM kwa upofu wao wanawazuia watu wasiongelee muungano( Tanganyika na Zanzibar!

Binafsi mimi Ndai, siogopi lolote, nimekua mkimbiz wa nchi yangu Zanzibar tangu 95, anaedhani ana nguvu na mamlaka ya kumdhuru mtu kwa sababu ya kuongelea Tanganyika na Zanzibar namkaribisha.

Mimi Ndai, ni UKAWA damu, na nimpemba, na daima nitapigania mamlaka kamili ya Zanzibar hadi tone la mwisho!

CCM mjue kuwa sisi ni matokeo ya siasa za uwelewa sio za maji taka!

Nawasilisha!
 
@ Ndai We ni mkimbizi uko nchi gani mkuu au mombasa.
 
"you have hit a nail on a head" nipo mombasa mkuu, uku tunanyanyaswa wanatuona wasomali
 
"you have hit a nail on a head" nipo mombasa mkuu, uku tunanyanyaswa wanatuona wasomali
Njoo Zenj tuyakung'ute mafisadi ya CCM bhana!! UKAWA imepamba moto tunahitaji wapambanaji!
 
Njoo Zenj tuyakung'ute mafisadi ya CCM bhana!! UKAWA imepamba moto tunahitaji wapambanaji!

sisi huku tuliko tunajua evry thng, mchakato wa katiba yani atukosi! ccm wajue wanawaki mgumu! nakuja mwanzoni mwishoni! i missed my mum and friends of fidel castro high school!
 
nitakuja mkuu, sisi uku tunafatilia yani kwa kila kitu, ccm na katiba ya kiini macho, evry thng, UKAWA have a power"
 
Ndai unafikiri katiba itapatikana kwa mikutano ya nje ya bunge wasaidie wabunge warud bungen ,kwakuwa wew n ukawa damu
 
Back
Top Bottom