Ukweli na Uwazi
Senior Member
- Apr 20, 2013
- 122
- 54
Yaani katika vitu ambavyo vimenichefua leo ni kusikia eti mojawapo ya kamati za bunge la katiba wanajadiri uwepo wa mahakama ya kadhi. Ivi hawajui kama wanataka kuleta mzozo usio wa lazima? Wasitake wakristo nao wakaanza kuongea. Mahakama ya kadhi ni suala la kidini tuwaachie wenye dini husika washughulike nayo. Isitoshe inchi hii haina dini. Kwa hapa tulipofikia nadiriki kusema bunge hili limekosa weledi kikwete alivunjilie mbali. Msifikili suala hilo halikujitokeza kwenye tume ya warioba ila wajumbe walitumia busira kuliacha. Bunge maalam limekuwa batili kabisa.