marejesho JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 6,634 Reaction score 3,662 Jan 20, 2012 #1 Kipande cha sabuni shilingi 950 Kilo ya unga sh................. Kilo ya sukari ...................... Mfuko wa cement sh................
Kipande cha sabuni shilingi 950 Kilo ya unga sh................. Kilo ya sukari ...................... Mfuko wa cement sh................
marejesho JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 6,634 Reaction score 3,662 Jan 20, 2012 Thread starter #2 AUDIO TRACK: HUSSEIN MACHOZI – JELA | DarTalk.com
B Bajabiri JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 9,727 Reaction score 1,214 Jan 20, 2012 #3 Hahahah unga wa mahindi Kilo mia mia ziwe tisa!
E engmtolera JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 5,149 Reaction score 1,441 Jan 20, 2012 #4 jela jela bora nirudi jera,kama mke wangu nae kamilikiwa na kigogo duu,bora nirudi jera,nimeshindwa bora nirudi
jela jela bora nirudi jera,kama mke wangu nae kamilikiwa na kigogo duu,bora nirudi jera,nimeshindwa bora nirudi
F Fraddle b JF-Expert Member Joined Nov 20, 2011 Posts 222 Reaction score 20 Jan 20, 2012 #5 Husen machoz katoa idea nzuri sana bora nirudi jela
Dr.Chichi JF-Expert Member Joined Apr 30, 2008 Posts 2,393 Reaction score 639 Jan 21, 2012 #6 he he eh
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,266 Jan 21, 2012 #7 ule wimbo hauna ukweli wa kuaminisha. Jela bongo?
Ngambo Ngali JF-Expert Member Joined Apr 17, 2009 Posts 3,517 Reaction score 1,367 Jan 21, 2012 #8 Vijana wanaingia kwenye wimbi la ukombozi bila Kujitambua. Wa kwanza ulikuwa Rizwani kamwambie baba, Lilikuwa dongo la kutosha kwa JK kuhusu uhalisia wa maisha ya mtanzania wa kawaida. Ukaja wimbo mwingine kichwa kinauma kusisitiza Hali Ngumu ya mtanzania Sasa wanataka kurudishwa jela Baada ya hapa nadhani wataimba Jamani si tuwe kama Boaziz. Moto wa ukombozi hakika wachukua sura mpya.
Vijana wanaingia kwenye wimbi la ukombozi bila Kujitambua. Wa kwanza ulikuwa Rizwani kamwambie baba, Lilikuwa dongo la kutosha kwa JK kuhusu uhalisia wa maisha ya mtanzania wa kawaida. Ukaja wimbo mwingine kichwa kinauma kusisitiza Hali Ngumu ya mtanzania Sasa wanataka kurudishwa jela Baada ya hapa nadhani wataimba Jamani si tuwe kama Boaziz. Moto wa ukombozi hakika wachukua sura mpya.
chapaa JF-Expert Member Joined Feb 19, 2008 Posts 2,349 Reaction score 206 Jan 21, 2012 #9 Baba R1 asikilizishwe hii kitu ili kama vp waongeze magereza maana watu wamesha choka