Namkumbuka this lady enzi za uhai, alikuwa mpiganaji wa haki za vijana na mwenye moyo wa kujitolea pale alipoweza. Mwenzetu katangulia mbele ya haki tumuenzi kwa kuendeleza aliyoyaanzisha.
Wabunge vijana igeni ujasiri wa Amina, ikibidi kuhatarisha maisha yenu kwa maslahi ya wengi waliowachagua.
RIP Amina Chifupa, ur still on our minds.
Mwenye picha zaidi atuwekee hapa alikuwa mbunge kijana na mrembo aliyetingisha vigogo kwa urembo
Msimtie machungu Zitto Kabwe!
sasa mbona wakamwondoa duniani mypema sana akiwa only 26 yrs?? au aligusa pasipofaa maskini mrembo wetu. Siamini she now Fossils.
Msimtie machungu Zitto Kabwe!
kweli namkumbuka kama walivyo marehemu wengine,kama kina balali nk