Kweli baba (Lema) mwenye nyumba karudi nyumbani Arusha

Kweli baba (Lema) mwenye nyumba karudi nyumbani Arusha

CHEMPO

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Posts
368
Reaction score
60
Kweli nimegundua kuna tofauti ya kiongozi wa kuchaguliwa na kiongozi wa kuteuliwa..baada ya Lema kurudi alipiga marufuku mgambo kupiga watu na akawaelekeza kutumia taratibu za kisheria kushughulikiaa watu.

Nilichogundua mpaka sasa siwaoni tena wale mgambo wakiranda randa...hii pia inambatana na usemi wa Lema akiwambia asisikie kijana wa CHADEMA kapigwa..na akaapa kwa gharama yoyote atawalinda aliowaita mama zake wanaofanya biashara.
 
Mama yao "ccm" alikua ananyanyasa watoto ee! Baba karudi
 
Kweli nimegundua kuna tofauti ya kiongoz wa kuchaguliwa na kiongozi wa kuteuliwa..baada ya lema kurudi alipiga marufuku mgambo kupiga watu na akawaelekeza kutumia taratibu za kisheria kushuhulikiaa watu...nilichogundua mpaka sasa siwaoni tena wale mgambo wakiranda randa...hii pia iiambatana na usemi wa lema akiwambia asisikie kijana wa chadema kapigwa..na akaapa kwa gharama yoyote atawalinda aliowaita mama zake wanaofanya biashara
Jembe limerudi naona wameenda kuomba ruhusa kwa kamanda wa polisi ili waweze kupata msaada wa vitu vizito vinavyoruka kutoka upande wa chadema
 
Wapi RC Magessa Mulongo?? Huyu anamchukia Lema kama kam-chukulia mke vile..
 
Baba ni baba tu. Chezea mkuu wa kaya weye, utaumia.
 
We ulukuwa hujui kuwa paka akiondoka panya hutawala? jamaa namwamini husimamia kile anachokisema na kukiamini ndiyo maana watu walimchagua
 
Ninachochukia watanzania hawawezi kusimamia haki zao na kuzitetea mpaka atokee anayejitoa kafara kwa ajili yao na ikitokea aliyejitoa kafara anadhalilishwa juu yao wao hukaa pembeni kwa kusahau au kutokutambua kwamba alikuwa anawapambania.>>>Pls TUSHIKAMANE PAMOJA KUPINGA UOVU,UDHALILISHAJI WA UTU WA MWANADAMU kutoka kwa huyu mkoloni mweusi.
 
Kuna watu hawapendi hii habari, basi tu
 
Makamanda tupo pamoja, Kamanda Lema siyo jembe tena bali ni katapila. Magamba mlie tu,baba mwenye nyumba karudi.
 
Back
Top Bottom