kweli au sio kweli?

nyabhingi

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
15,638
Reaction score
20,254
gonga LIKE:kama kila unapomaliza kusoma post au comment yenye mashiko unaangalia huyo member kajiunga lini JF...!!
 
Ya kazi gani?

Mtu akiandika pumba ndio watu wanakua na shauku ya kujua kajiunga lini.
 
Yeah kabisa, maana hapa JF zipo groups
 
sijakuelewa. natumia simu ntagongaje like?. nifafanulie mkuu. Mia
 
Sijawahi kuona mtu aliyeandika point analetewe profile lake kwenye thread. . .

hapo kwenye red mkuu umeweka maneno kinywani mwangu!!sikusema profile yake inaletwa kwenye thread..nimesema kama unachungulia juu kulia kuona kajiunga lini gonga 'like'
 
Bwana Misosi sasa naimba
Nitoke vipi
Siku nyingi najiuliza
Nitoke vipi
Ndan ya ya rap hii
Mpate kunielewa 2X
 
hapo kwenye red mkuu umeweka maneno kinywani mwangu!!sikusema profile yake inaletwa kwenye thread..nimesema kama unachungulia juu kulia kuona kajiunga lini gonga 'like'
Kuna niliposema wewe ndie uliyesema?
 
mimi naangalia kushoto nijue points au upupu katoa nani?
 
Andika k kama jibu ni kweli na s kama jibu si kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…