Toka jumatatu naona lundo la vijana wanapigana vikumbo kuwania nafasi za kusimamia uchaguzi mkuu!! Ninachojiuliza, baada ya October 25 watafanya shughuli gani hawa!?
Toka jumatatu naona lundo la vijana wanapigana vikumbo kuwania nafasi za kusimamia uchaguzi mkuu!! Ninachojiuliza, baada ya October 25 watafanya shughuli gani hawa!?
Wapo baadhi watakachopata kinaweza kugeuka mtaji,kwahiyo baada ya 25 Oct wanaweza kuwa na pa kuanzia.
Ndege mmoja uliyemshika mkononi ni bora kuliko kumi walioko mtini. Acha washughulike na huyu wa mkononi.Hata waliopataga kwenye sensa walionja kimtindo siyo?
Wasalaam