Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
- Thread starter
- #21
La!...kitu live hicho katika passout parade ya wakuu.Photoshop?
La!...kitu live hicho katika passout parade ya wakuu.Photoshop?
hawa watakuwa mgambo wa manispaa ya abidjan
Mkuu ilikuwa operation gani hiyo, nasikia huyo Mirudy baadae alikuwa CO baada ya mzee Karubi kuondoka!.No guuz match(spelling?..) mkuu,Oljoro JKT kwa mzee Maduma,Masabo,Mirudy na afande Mlimba
Sawa bwana, sijui ilikuwa kambi gani hiyo...he he he!.Inanikumbusha kipindi hcho nikiwa kambini.
Usiombee uwe unahalisha