Kwaribu kituo cha msada wa sheria mola au m&lamtane

Poxino

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
727
53
tuna toa misada mbalimbali yakisheria katika vitu vyetu vya kisheria vivyopo na mtwara mjini na kwa hapa Dar es salaam pia tuna patikana katika jengo la EAGR/Furniture center ghorofa ya tatu , chumba na 301 Barabara ya nyerere/mtaa wa Boari .
TUNATOA MSADA WA KISHERIA KWA KESI MBALIMBALI KAMA
makosa ya jinai, ndoa, miradhi, madai yakawaida, mauziano ya nyumba magari ardhi n.k, napiatunatoa huduma yakuwakilishwa mahakamani na tunanda memorandum nakutoa ushauri wakisheria
KWA MAWASILIANO WASILIANA NASI
S.L.P 46423 Dar Es Salaam
Simu 0713602026
0783450400
0712690760
KWA MTWARA ORGANIZATION FOR LEGAL ASSISTANCE
S.L.P 407 Mtwara
Simu (023)23334693 karibu sana kituo chetu kwa
 
tunashukuru watu wameanza kufika ila msihofu wadau bado mnaendelea kukaribishwa kituo chetu cha msada wakisheria karibun sana
 
tuna toa misada mbalimbali yakisheria katika vitu vyetu vya kisheria vivyopo na mtwara mjini na kwa hapa Dar es salaam pia tuna patikana katika jengo la EAGR/Furniture center ghorofa ya tatu , chumba na 301 Barabara ya nyerere/mtaa wa Boari .
TUNATOA MSADA WA KISHERIA KWA KESI MBALIMBALI KAMA
makosa ya jinai, ndoa, miradhi, madai yakawaida, mauziano ya nyumba magari ardhi n.k, napiatunatoa huduma yakuwakilishwa mahakamani na tunanda memorandum nakutoa ushauri wakisheria
KWA MAWASILIANO WASILIANA NASI
S.L.P 46423 Dar Es Salaam
Simu 0713602026
0783450400
0712690760
KWA MTWARA ORGANIZATION FOR LEGAL ASSISTANCE
S.L.P 407 Mtwara
Simu (023)23334693 karibu sana kituo chetu kwa ...... ???

Ndugu, wewe ni mwanasheria kweli?
Nilidhani wanasheria ni wataalamu wa lugha pia, sasa tangazo lako tu tabu tupu, je hizo documents/nyaraka za kisheria tena kwa kizungu si itakuwa majanga??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom