Kwaresma na Pasaka Special Thread

Kwa jina jingine huwa inaitwa jumapili ya mchungaji mwema

Kazi yake kuu ni kuombea miito
 
Tunaalikwa kuwa wachungaji wema katika maisha yetu kila mtu katika nafasi yake alipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…