Ligogoma JF-Expert Member Joined Aug 27, 2010 Posts 3,502 Reaction score 6,461 Aug 31, 2014 #2 Wanasema ukiingia kwenye jamii nyingine basi jifunze kuishi kama wao! Na hawa naona wameona ni jambo geni kwao wacha wajifunze ila wakivunjika miguu wasiende kwa kutuchafua hahahaaa!
Wanasema ukiingia kwenye jamii nyingine basi jifunze kuishi kama wao! Na hawa naona wameona ni jambo geni kwao wacha wajifunze ila wakivunjika miguu wasiende kwa kutuchafua hahahaaa!
Tyta JF-Expert Member Joined May 21, 2011 Posts 12,767 Reaction score 10,539 Aug 31, 2014 #3 chezea shikaki ww