Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,366
Imekua kawaida kwa timu za misri kupangiwa kuja kucheza afrika mashariki hasa Tanzania...
Kuna mtu mmoja liwahi kuniambia kuwa huwa wanaomba CAF kupangiwa huku cz hakuna ushindani sana Wa soka ni rahisi wao kuvuka hatua za mbele
Na yote haya huwa wanapangwa baada ya kuwa mabingwa Wa afrika kwan baada ya kupambana sana wanataka urahisi kwa kuzikimbia timu za nchi za magharibi...
Rejea timu zote za kiarabu zimekuja hapa zikiwa mabingwa watetezi