kwanini kuwa na mpenzi bila raha? kuna wasichana wengine wanacho penda ni wewe kuwapa raha tu hii ni sawa? anacho taka ni raha tu ukienda na zawadi kwake raha lakini ukienda mikono mitupu ananunu kweli msichana wa namna hiyo ana faa? naombeni mnisaidie maana naona watu wengi nikiwemo mimi tunashindwa kuelewa.