Bila umeme maisha yangu yak iuchumi yana yumba, biashara zangu zina tegemea umeme kwaiyo kazi zinakuja nashindwa kuzifanya.Unahisi tunateseka na umeme pekee? Tukiorodhesha vyote tunavoteseka navo ni vingi vinaeza jaza thesis kubwa zaidi ya iliompa madelu PHD uchwara
Umeme wenyewe unatokea Tanganyika 🙄Nipo Zanzibar miezi miwili sasa" sijaona mgao wa umeme yani umeme ukikatika hazipiti dakika kumi unarudi yani wakazi wa Zanzibar wana raha sana, hawajui kama ndugu zao wa Tanganyika wanateseka na mgao wa maji na umeme, yani sirudi tena Tanganyika. Mwinyi ana upiga mwingi.
Na bado ni walalamishi kinyama yaaniNipo Zanzibar miezi miwili sasa" sijaona mgao wa umeme yani umeme ukikatika hazipiti dakika kumi unarudi yani wakazi wa Zanzibar wana raha sana, hawajui kama ndugu zao wa Tanganyika wanateseka na mgao wa maji na umeme, yani sirudi tena Tanganyika. Mwinyi ana upiga mwingi.
Sio Zanzibar tuu hata Mikoa wanayotumia umeme wa kutoka Nchi Jirani Hakuna mgao pia.Nipo Zanzibar miezi miwili sasa" sijaona mgao wa umeme yani umeme ukikatika hazipiti dakika kumi unarudi yani wakazi wa Zanzibar wana raha sana, hawajui kama ndugu zao wa Tanganyika wanateseka na mgao wa maji na umeme, yani sirudi tena Tanganyika. Mwinyi ana upiga mwingi.
Zanzibar ni Jamhuri nyingine.Nipo Zanzibar miezi miwili sasa" sijaona mgao wa umeme yani umeme ukikatika hazipiti dakika kumi unarudi yani wakazi wa Zanzibar wana raha sana, hawajui kama ndugu zao wa Tanganyika wanateseka na mgao wa maji na umeme, yani sirudi tena Tanganyika. Mwinyi ana upiga mwingi.
Wazanzibari hawa shida kama za kwetu Tanganyika, Zanzibar kila nyumba anayoishi Mzanzibari ina umeme na ukiona nyumba aina umeme basi Mtanganyika kapagishwa au kupewa akae bure kama mlinzi wa nyumba.Mlaumu Nyerere mnayemuabudu kwa huu muungano feki
Hata Dodoma hakuna mgao wa umeme. Dar pia ninapokaa hamna . Kagera hamna mgao sijui shida yako nini?Nipo Zanzibar miezi miwili sasa" sijaona mgao wa umeme yani umeme ukikatika hazipiti dakika kumi unarudi yani wakazi wa Zanzibar wana raha sana, hawajui kama ndugu zao wa Tanganyika wanateseka na mgao wa maji na umeme, yani sirudi tena Tanganyika. Mwinyi ana upiga mwingi.
Dodoma hawatumii umeme wa nchi jirani na umeme upo hakuna mgaoSio Zanzibar tuu hata Mikoa wanayotumia umeme wa kutoka Nchi Jirani Hakuna mgao pia.
Kwa gharama za Watanganyika!Nipo Zanzibar miezi miwili sasa" sijaona mgao wa umeme yani umeme ukikatika hazipiti dakika kumi unarudi yani wakazi wa Zanzibar wana raha sana, hawajui kama ndugu zao wa Tanganyika wanateseka na mgao wa maji na umeme, yani sirudi tena Tanganyika. Mwinyi ana upiga mwingi.
Ni Muungano ndugu, ukihoji zaidi utaambiwa unataka kuuua ambapo ni mwiko.Nipo Zanzibar miezi miwili sasa" sijaona mgao wa umeme yani umeme ukikatika hazipiti dakika kumi unarudi yani wakazi wa Zanzibar wana raha sana, hawajui kama ndugu zao wa Tanganyika wanateseka na mgao wa maji na umeme, yani sirudi tena Tanganyika. Mwinyi ana upiga mwingi.
Ni kweli Zanzibar unaweza ukaa miezi umeme haujakatikaIlo ni kweli ten siku izi ndo unakatika katika hovyo ila hauchukui time kubwa unarudi zaman ilikua unaweza kukaa ata 2 months umeme haujawahi kukatika ata kwa sekunde 5 tu na baadhi ya maeneo maji ni masaa 24.