Hata wale wanaoendelea na mikataba yao nao wanasubiri kufanyiwa assessment?Leo baada ya TFF kutoa takwimu ya timu ambazo zimesajili wachezaji ( CAF). Watu wengi hawakuelewa baada ya kuona Yanga wameandikiwa HAWAJASAJILI.
Ipo hivi Yanga ameishasajili wachezaji kwa maana ya kufikia makubaliano baina ya pande zote mbili. ( Team na mchezaji).
Kilichobaki ni kuwasajili hawa wachezaji kwenye mfumo wa TFF na CAF kwaajili ya kushiriki Klabu Bingwa barani Afrika msimu ujao.
Kwanini Yanga hajawasajili mpaka sasa?? Deadline ni tarehe 30 kwa maana bado siku kumi Yanga bado ana muda wa kuwafanyia assessment wachezaji wake kabla ya kuwasajili kwenye huo mfumo ili kujihakikishia anasajili wachezaji ambao wameonesha uwezo wa kiushindani katika michuano hiyo. View attachment 2694022
Ndiyo maanakeNi baadhi tu ya mashabiki wa mbumbumbu Fc ndiyo wameamua kukaza shingo. Hao hata uwaeleweshe vipi, huwa hawaelewi.
Kuna haja ya kusajili mmoja mmoja?Hata wale wanaoendelea na mikataba yao nao wanasubiri kufanyiwa assessment?
wanavuna nini?Ndio muda wa GSM kuvuna. Ulitegemea nguvu waliyowekeza msimu uliopita na Sasa wamevuna then waacha kuchota Chao kwanza waanze kuhangaika kusajili wachezaji. Hao wafanyabiashara wanaakili ya uwekezaji
Unajichosha bure mkuu, umejipa kazi ngumu sana ya kuelimisha mashabiki wa timu badala ya mashabiki wa mpira.wanavuna nini?
HakikaUnajichosha bure mkuu, umejipa kazi ngumu sana ya kuelimisha mashabiki wa timu badala ya mashabiki wa mpira.
trushKwa hiyo Yanga haitakiwi kuwa na mchezaji yoyote msimu huu?
Kwa hiyo hapo na wewe unajidaai mwenyewe kuwa umenijibu kwa kidhungu!?trush
Kila mmoja ana leseni yake huwezi sajili kwa kundi.Kuna haja ya kusajili mmoja mmoja?
Walikuwa wanatoa bajeti ya mwaka bila kuonyesha deni la Luc Eymael. Wamlipe sasa wafunguliwe, baadaye wasije wakaanza kuilaumu TFFKwa hiyo Yanga haitakiwi kuwa na mchezaji yoyote msimu huu?
[emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo hapo na wewe unajidaai mwenyewe kuwa umenijibu kwa kidhungu!?
Deni la Luc ni shilling ngapi? au unabwabwaja tu hapaWalikuwa wanatoa bajeti ya mwaka bila kuonyesha deni la Luc Eymael. Wamlipe sasa wafunguliwe, baadaye wasije wakaanza kuilaumu TFF
Ujue mpira na taratibu zakeKila mmoja ana leseni yake huwezi sajili kwa kundi.
Leo baada ya TFF kutoa takwimu ya timu ambazo zimesajili wachezaji ( CAF). Watu wengi hawakuelewa baada ya kuona Yanga wameandikiwa HAWAJASAJILI.
Ipo hivi Yanga ameishasajili wachezaji kwa maana ya kufikia makubaliano baina ya pande zote mbili. ( Team na mchezaji).
Kilichobaki ni kuwasajili hawa wachezaji kwenye mfumo wa TFF na CAF kwaajili ya kushiriki Klabu Bingwa barani Afrika msimu ujao.
Kwanini Yanga hajawasajili mpaka sasa?? Deadline ni tarehe 30 kwa maana bado siku kumi Yanga bado ana muda wa kuwafanyia assessment wachezaji wake kabla ya kuwasajili kwenye huo mfumo ili kujihakikishia anasajili wachezaji ambao wameonesha uwezo wa kiushindani katika michuano hiyo. View attachment 2694022
Aliyekuambia wamehitimisha ni nani? Hiyo ni alert wanatoa tu.TFF wanahitimisha usajili siku kumi kabla dirisha la usajili halijafungwa?
Yaani wanatangaza bingwa ilhali raundi ya pili haijachezwa?
Mbona Yanga sio wageni huko CAF?
Alert kwa public ama kwa timu?Aliyekuambia wamehitimisha ni nani? Hiyo ni alert wanatoa tu.
Specifically kwa timuAlert kwa public ama kwa timu?
Specifically kwa timu
Pengine ni mazoea ikiwa imezoeleka wanapelekaga majina mapema wanaona this time sio kawaida na ndio maana kila siku wanapost kukumbushia sikuMbona wasiandike Barua direct kwa timu ikiwa walilenga ku-alert timu?
Tukubali kuwa kwenye hili TFF wamekosa weledi. Walichofanya sio sahihi.