Bukoba Finest
JF-Expert Member
- Jul 13, 2023
- 250
- 315
[emoji16][emoji16] sawa mkuuYoung Africans.... Hawajasajili... acha kumbishia Ndimbo
Safari yako ya kuujua mpira ni ndefu sana, kwahyo kama wamefungiwa usajili ndo hawaruhusiwi kusajili wachezaji walio nao tayari?acha upotoshaji mlipeni kocha mfunguliwe usajili
Ndio maana nikasema hii inahitaji watu wa mpira sio Machawa FcWale jamaa kweli ni nyani watupu. Wanakwama wapi kumlipa kocha Mbelgiji ili maisha yaendelee? Hivi yule Eng.Hedhi kwenye kichwa kama amevaa kapelo hana akili kiasi hiki?
usikurupuke elewaSafari yako ya kuujua mpira ni ndefu sana, kwahyo kama wamefungiwa usajili ndo hawaruhusiwi kusajili wachezaji walio nao tayari?
Huoni tatizo kweli [emoji1787]usikurupuke elewa
Kwa hiyo Yanga haitakiwi kuwa na mchezaji yoyote msimu huu?acha upotoshaji mlipeni kocha mfunguliwe usajili
Uelewa wake mdogo sanaKwa hiyo Yanga haitak8wi kuwa na mchezaji yoyote msimu huu?
wakina naniMambo yao waachie wenyewe...
Wewe ndio nyani ila huoni kundu lako Fontain gate na Kitayose walifungiwa tuliona press release kutoka TFF ili kudhilisha wewe sio nyani huoni kundu lako tuonyeshe barua toka reliable source kua Yanga kafungiwa na utuambie hao wachezaji wanao tanganzwa watacheza timu ganiWale jamaa kweli ni nyani watupu. Wanakwama wapi kumlipa kocha Mbelgiji ili maisha yaendelee? Hivi yule Eng.Hedhi mwenye kichwa kama amevaa kapelo hana akili kiasi hiki?
Muda hauna mdomoMuda utaongea.
Na hata usipomkumbusha hayo yote, kwani wao machawa Fc wamesajili wachezaji 24 kwenye hili dirisha?Wewe ndio nyani ila huoni kundu lako Fontain gate na Kitayose walifungiwa tuliona press release kutoka TFF ili kudhilisha wewe sio nyani huoni kundu lako tuonyeshe barua toka reliable source kua Yanga kafungiwa na utuambie hao wachezaji wanao tanganzwa watacheza timu gani
HakikaWengi awatamuelewa mleta mada kwasababu ni mashabiki ila wanaofatili mpira kwa ukaribu watamuelewa.