Kwanini wenye mapepo mengi ndio masikini?

Ushawahii kwenda KWENYE maombii

Asilimia sabini ya watuwanaoombewa NA kulilipuka.mapepo maishayao n magumu sana

Shida zaidi n nini
Tajiri anaogopwa na shetani
Akiwa ofisini anatoa pesa za kusaidia masikini kama ada , chakula, hela za kujikimu kwa watu mbalimbali mania kwa mamia ya watu wanamoombea, ni ngumu sana mungu kutosiki sala ya mama mjane anayesaidiwa na tajiri,
Au kijana mlenavu n.k
Tajiri ana ulinzi wa mungu muda wote
Masikini kazi yake ni kulalamika tu
Wacha mapepo yawaandame
 
ni rahisi ngamia kupenya ktk tundu la sindano kuliko tajiri kurithi ufalme wa mbingu
 
ni rahisi ngamia kupenya ktk tundu la sindano kuliko tajiri kurithi ufalme wa mbingu
Hhah siyo kiivyo wewe
Ibrahimu
Ayubu
Suleiman
Matajiri wa kutupwa hao wapo jehanamu kwa sasa kisa walikuwa mabilionea eee
Baaasi haaya kauze kila ulichonacho
 
Pepo Linapotumwa Kwa Mtu Huhakikisha Linatekeleza Lilichotumwa Kama Ni Kukuharibia Maisha Litahakikisha Hufanikiwi Milele Au Kama Limetumwa Kwa Ajili Ya Kuua Litahakikisha Linakutesa Mpaka Kufa KwaKo ... ILA NA WEWE P DIDY UNATUTESA SANA HUU UANDISHI WAKO USIPOACHA HII TABIA NITAKUFUNGULIA MASHITAKA ...
 
Maskini wengi wanakuwa na mapepo kwa sababu.. Wanaenda sana kwa waganga.. Wanalalamika sana.. Wanatamani na kuwa na roho ya kwanini frani tajiri kwa staili hiyo lazima mapepo yakae
 
Hhah siyo kiivyo wewe
Ibrahimu
Ayubu
Suleiman
Matajiri wa kutupwa hao wapo jehanamu kwa sasa kisa walikuwa mabilionea eee
Baaasi haaya kauze kila ulichonacho

hao uliowataja walikuwa wateule.

waitwao ni wengi lakini wateule wachache.

matajiri sio kwamba wamekataliwa mbinguni, ila kulingana na tamaa ya mali na nguvu ya pesa walizonazo ni rahisi kupata majaribu.
 
Tajiri anaogopwa na shetani
Akiwa ofisini anatoa pesa za kusaidia masikini kama ada , chakula, hela za kujikimu kwa watu mbalimbali mania kwa mamia ya watu wanamoombea, ni ngumu sana mungu kutosiki sala ya mama mjane anayesaidiwa na tajiri,
Au kijana mlenavu n.k
Tajiri ana ulinzi wa mungu muda wote
Masikini kazi yake ni kulalamika tu
Wacha mapepo yawaandame
Umemalizakabisaa shikamoompwa
 
Mch maboyaa akifundisha sikumojaaa unashangaaa TAJIRI FULANI KILA JPILI ANATOA USHUHUDA SIO HIVIHIV UNAKUTA ASBH KAOMBEA NA MCH ONYANGO SA NNE RWAKATARE SA SABA MCH GWAJIMA SA KUMI NAMBILI NAMWOMBEA MM NAKILA AKIFANIKIWA ANAWABARIKI WACH VOUCHER AMA PESA ZA UJENZI..WA KANISA MIWE NA AKILI ZA KUTOA ILI MBARIKIWE....UTASHANGAAA MCH FULANI ANAKUKEMEA PEPO LAKINI UKIWA UNAJIANDAA KUMBARIKI UKITOA WEKUNDU UNASHANGAA ALIKUWA ANAKUAVCHA ANAONGEZA MAOMBII PEPO NAKUAMURU POPOTE ULIPO TOKAAA KUANZIA SHINA TOKAA....JIFUNZE KIZURI KIMEOKWA
 
Pepo Linapotumwa Kwa Mtu Huhakikisha Linatekeleza Lilichotumwa Kama Ni Kukuharibia Maisha Litahakikisha Hufanikiwi Milele Au Kama Limetumwa Kwa Ajili Ya Kuua Litahakikisha Linakutesa Mpaka Kufa KwaKo ... ILA NA WEWE P DIDY UNATUTESA SANA HUU UANDISHI WAKO USIPOACHA HII TABIA NITAKUFUNGULIA MASHITAKA ...
Naitajiutajiri usinikemee mwandikoo tenaa..pigaaa maombii
 
hao uliowataja walikuwa wateule.

waitwao ni wengi lakini wateule wachache.

matajiri sio kwamba wamekataliwa mbinguni, ila kulingana na tamaa ya mali na nguvu ya pesa walizonazo ni rahisi kupata majaribu.
Umasikini sio ticket ya kuingia mbinguni...heri walio masikini wa roho maana ufalme wa mbingu ni wao...
 
Tajiri anaogopwa na shetani
Akiwa ofisini anatoa pesa za kusaidia masikini kama ada , chakula, hela za kujikimu kwa watu mbalimbali mania kwa mamia ya watu wanamoombea, ni ngumu sana mungu kutosiki sala ya mama mjane anayesaidiwa na tajiri,
Au kijana mlenavu n.k
Tajiri ana ulinzi wa mungu muda wote
Masikini kazi yake ni kulalamika tu
Wacha mapepo yawaandame
1. Mungu analinda watu wote hasa masikini.
2. Wengi wa wanaoombewa na kuambiwa wana mapepo sio kweli wana matatizo ya kisaikolojia na siyo mapepo. ndiyo maana wengi ni wanawake kwa sababu akina mama wana hisia kali sana zinazowafanywa wasisimke kirahisi
3. Mungu hahongwi wala hatishwi na utajiri wa mtu kwani vyote vyatoka kwake
 
Naitajiutajiri usinikemee mwandikoo tenaa..pigaaa maombii
Eee mungu baba mtizame P DIDY kwa jicho la tatu tizama jinsi anavyoteseka tenda muujiza juu yake apate kufanikiwa maishani mwake muonyeshe njia ya baraka shusha chemichemi za utajiri juu yake vunja vunja nguvu za giza zote zinazozuia asifanikiwe maishani mwake kama ana pepo mfilisi liondoke shusha moto wa rehema juu yake kama ana majini yanamsumbua yaondoke kama anasumbuliwa na mahembe yaondoke kama ana manyabuleza yaondoke shusha moto moto moto fire fire fire ... MPWA NIMEMALIZA UKIFANIKIWA UNIKUMBUKE ...
 
Ha ha ha.. Kweli uchawi hauendan na pesa wal maendeleo, ndo mana kule rungwe wanasema eti kuna mzimu unapaisha unga angani so wananchi njaa kali mpaka wanachangiwa , sasa hapo ndo uone upuuz wa uchawi na hayo mnayoita mapepo/majini
Ila kuna kabila flan la huko visiwa vya zanziba wanayafuga kama mbuzi tu
 
Tujaribu kujiuliza kwanini watu wanaua wenzao na kuwafanya misukule ili wapate utajiri, ndivyo Mungu anavyotaka hivi? Mtu anaua albino na kumkata viganja ili apate utajiri. Ndugu hawajasoma na wala hawana lolote maishani, wanaroga wenzao waliosoma wasifanikiwe maishani ili tu wafanane kimaisha au tu wateseke wawacheke. Huu ni ushetani na si utashi wa Mungu, hivyo si kila anayeteseka na pepo la umasikini hapa duniani kazaliwa nalo bali binadamu wenzao haswa ndugu ndiyo chanzo.
 
Back
Top Bottom