The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 1,913
- 5,627
Sabaya ni TISS kweli Wala siyo kujifanya.Peace upon ya'all,
Ebwana ni ajabu sana mtaani ukipita mtu anaesemekana ni TISS hutukuzwa na hata watu wengine wengi hujifanya TISS ili kuonekana maalumu na kutafuta maujiko
hata hapa jf wengi hujifanya TISS ili kujipatia ujiko ajabu ni kwamba kama ilivyo nesi, daktari, mfamasia, dentist n.k wako katika kada ya afya (health sector) au walimu, wakufunzi wako kada ya elimu (education sector) au kama marubani, airhostess, astronuts n.k wako kada ya aviation ndivyo pia askari magereza, polisi, askari jeshi, mgambo na TISS wote ni kada ya ulinzi.
Kimsingi TISS ni kada ya ulinzi kundi moja, taaluma moja na mgambo wametofautiana juristiction chache ila wana mengi ya pamoja kuliko utofauti. Hata kimaslahi TISS ni wakawaida sana na wamepitwa na kada nyingi tu na hamna maajabu yoyote kwa hawa walinzi.
Ni ushamba tu wa Watanzania kuona ati walinzi hawa ni watu wa hadhi kubwaaaa, na ujinga huo ndio unawafanya watu kama Sabaya mwaka 2018 - 19 kujifanya TISS huku akisafiri bure, na kupata huduma katika mahotel makubwa bure akiwaonyesha kitambulisho tu.
Kitu ambacho hata angekua kweli ni TISS hana upendeleo wa kupata huduma bure.
Ila hao wazee ambao ndio wanastaafu sasa wengi wao wapo vizuri sana kichwani.Sabaya ni TISS kweli Wala siyo kujifanya.
Tatizo kubwa mmejengwa vichwani kwenu TISS ni watu genius na akili kubwa sana na hivyo mtu Kama Sabaya hawezi kuwa na kiuhalisia ndio usalama wenu hao.
Kwa lugha rahisi Sabaya nanyule aliyemtolea Nape bastola ni usalama ni vichwa panzi tu.
SAWA KIJANAWengi wa TISS wenyewe ukiwaona ni mapoyoyo yaliyojawa majingambo
Haujanielewa mkuu, rudi kasome uzi. Mimi sijasema TISS ni magenius infact nimesema kinyume yani ni wakawaida wamejawa tu majigambo na wananzania washamba huwatukuza, kasome tenaSabaya ni TISS kweli Wala siyo kujifanya.
Tatizo kubwa mmejengwa vichwani kwenu TISS ni watu genius na akili kubwa sana na hivyo mtu Kama Sabaya hawezi kuwa na kiuhalisia ndio usalama wenu hao.
Kwa lugha rahisi Sabaya nanyule aliyemtolea Nape bastola ni usalama ni vichwa panzi tu.
Kabisa Mkuu...wako above the DISPLINIIla hao wazee ambao ndio wanastaafu sasa wengi wao wapo vizuri sana kichwani.
Nchi hii Sasa hivi imekufa kila Kona.Ila hao wazee ambao ndio wanastaafu sasa wengi wao wapo vizuri sana kichwani.
Kuna tofauti gani kati ya usalama wa taifa na askari kanzu?Sabaya ni TISS kweli Wala siyo kujifanya.
Tatizo kubwa mmejengwa vichwani kwenu TISS ni watu genius na akili kubwa sana na hivyo mtu Kama Sabaya hawezi kuwa na kiuhalisia ndio usalama wenu hao.
Kwa lugha rahisi Sabaya nanyule aliyemtolea Nape bastola ni usalama ni vichwa panzi tu.
Usalama wa taifa ni Askari wa intelijensia, idara chini ya ofisi ya Rais.Kuna tofauti gani kati ya usalama wa taifa na askari kanzu?
Usalama Taifa pana saanaa kuna mambo mengi sana achana wale umawaona walinzi viongozi....kila sekta wapo sana tuuui....wana jua kazi wanafanya kwenye sekta husika....Kuna tofauti gani kati ya usalama wa taifa na askari kanzu?
Nimecheka kwa nguvu hapaWe vaa tu sutiKaunda nyoa kipara nenda kaunta kunywa WINDOKU ukiwa umesimama kaunta...macho yako yanaangaza angaaza kila kona
Utaona Wabongo wananong'onezana wengine hata kukimbia kaunta.....
MAUJIKO ..teh teh teh....yani kutisha tu watu
Hivi kutojadili mwelekeo, dira na elimu ya uraia wa taifa na kubakia kua machawa kunafaida gani ?Hivi kujadili issue zenye maslahi ya nchi hadharani kuna faida gani
Usithubutu kudhani hivyo wala isitokee hata mara moja ukawaza hivyo ndugu yangukinacho wafanya watu wa TISS wajimwambafai ni ule ukaribu wa sekta yao na RAIS ambae ndie sponsor...hicho tu ndio hufanya watu wawape special care watu wa TISS....
ila amini nakwambia TISS wana njaa kama waajiliwa wengine...
inawezekana JWTZ wakaWa na maisha mazuri kuliko TISS...
naaminiUsithubutu kudhani hivyo wala isitokee hata mara moja ukawaza hivyo ndugu yangu
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app