kaitamarogo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 461
- 495
Nimekuwa nikifuatilia hili suala kuhusu watu wengi wanaomaliza ngazi za elimu mbalimbali wengi hhawapendi kurudi makwao has a wale wanaotoka vijijini. Je ni sababu zipi hupelekea hali hii?
Sababu wakiludi jamii inawaona kama wameshindwa maisha,kwahiyo wanaona ni kama fedheha,kumbe kuludi nyumbani ukiwa na elimu yako hasa kijijina baada ya miaka miwili unakuwa ni millionea.Nimekuwa nikifuatilia hili suala kuhusu watu wengi wanaomaliza ngazi za elimu mbalimbali wengi hhawapendi kurudi makwao has a wale wanaotoka vijijini. Je ni sababu zipi hupelekea hali hii?
Nimekuwa nikifuatilia hili suala kuhusu watu wengi wanaomaliza ngazi za elimu mbalimbali wengi hhawapendi kurudi makwao has a wale wanaotoka vijijini. Je ni sababu zipi hupelekea hali hii?
Safi sana. Japo mimi sio mchaga lakini familia yetu inarudi nyumbani na uzuri baba alijenga nyumba nzuri tu hivyo kuna wengine hawarudi kutokana na mazingira boresha mazingira ya nyumbani basi ili uwe na bond na ndugu zako Kha!Sisi wachaga tunarudi nyumbani.