Kwanini watu wananiogopa sana?

Kwanini watu wananiogopa sana?

GODZILLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2014
Posts
5,909
Reaction score
10,562
Wasalaam...

Mimi ni Kijana wa early 30's, nina urefu saizi ya kati, rangi ya maji ya kunde. Kwa asili mimi ni mtu mkimya SANA.

Nimekuwa niki experience namna ambavyo watu wanajawa hofu wakiwa karibu yangu... aidha watanisalimia kwa woga na kutetemeka, au wataonyesha ishara ya kunyong'onyea.

Watoto wadogo na vijana ndio balaa kabisa, wakiniona wanatetemeka sana huku wananiamkia haraka haraka.

Hii hali inanitesa sana maana hata kazini watu wananiogopa na wakiniona wanajisikia inferior sana. Nikianza kuzungumza kila mtu anaitikia kwa hofu. Wakati mwingine najaribu kukaa mbali na watu ili wasijisikie duni!

Ni nini hiki? Sidhani kama sura yangu inatisha maana mke wangu na baadhi ya wanawake huniambia mimi ni handsome! Kwahiyo naamini sura yangu haitishi!

What is this?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda wanakufaninisha na kibaka
 
mkuu utakuwa unajitangaza kama afisa usalama wa taifa/ mteka watu?
 
May be uko serious sana..May be hauko politely the way you talk..May be unaongea kwa ukali ukali..may be uko stressed bila kujijua..may be una over confidence..may be mtaa wa unaokaa ww ndio unaonekana unavisenti..may be uoga wao tu..may be wenge lako tu kuonwa unaogopwa kumbe hamna lolote..may be stimu unazotumia unajiona kama Vandame..may be ..may be ..may be...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda una hasira sna ukifanyiwa jambo ni raisi kujibu kwa hasira au kupiga mtu au upo sirious sana hucheki au hujumuiki na watu sana mkimya kupitiliza. Ubaya wa sura hauzuii watu kucheka au kufurahi nawe ila ni ww unavyojiweka mbele za watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mkimya tu wala sina hasira. Lakini ni ukweli pia sichangamani sana na watu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
May be uko serious sana..May be hauko politely the way you talk..May be unaongea kwa ukali ukali..may be uko stressed bila kujijua..may be una over confidence..may be mtaa wa unaokaa ww ndio unaonekana unavisenti..may be uoga wao tu..may be wenge lako tu kuonwa unaogopwa kumbe hamna lolote..may be stimu unazotumia unajiona kama Vandame..may be ..may be ..may be...

Sent using Jamii Forums mobile app
uhh.. may be.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom