Kwa nini mtu akishakufa ANAPOTEZA DHAMANI? Yanni anakuwa adui wa kila mtu, yaani hata mke au mume au mtoto anakukimbia, WHY?
Watu wakifa au kupoteza uhai kuna namna nyingi sana za kuhifadhi kulingana na mila, tamaduni, dini, siasa na hulka za watu
Sasa leo tujiulize, kwanini jamii nyingi huzika kwenye makaburi ardhini?
- Wengine wanachoma maiti mpaka kuwa majivu
- Wengine wanakausha na kuhifadhi maiti kwenye chumba maalum
- Wengi wanazika ardhini
- Wengine wanazika mapangoni kulingana na historia ya karne ya tano
- Wengine huhifadhi chini ya pyramid kulingna ana historia za Egypt
Mshana Jr Tunaomba mtazamo wako mkuuWatu wakifa au kupoteza uhai kuna namna nyingi sana za kuhifadhi kulingana na mila, tamaduni, dini, siasa na hulka za watu
Sasa leo tujiulize, kwanini jamii nyingi huzika kwenye makaburi ardhini?
- Wengine wanachoma maiti mpaka kuwa majivu
- Wengine wanakausha na kuhifadhi maiti kwenye chumba maalum
- Wengi wanazika ardhini
- Wengine wanazika mapangoni kulingana na historia ya karne ya tano
- Wengine huhifadhi chini ya pyramid kulingna ana historia za Egypt
Mtu ukifa yaani ukishatoka kwenye mwili wako, mwili unakuwa hauna kazi tena. sio wanakukimbia ila wanakupa heshima stahiki kwa wakati huo yaani ni sawa na umenunua biskuti ukimaliza kuila ganda unatupia kwenye jalala la taka.Kwa nini mtu akishakufa ANAPOTEZA DHAMANI? Yanni anakuwa adui wa kila mtu, yaani hata mke au mume au mtoto anakukimbia, WHY?