Kwanini watawala wanaogopa demokrasia?

Kwanini watawala wanaogopa demokrasia?

ISOPOWER

Member
Joined
Sep 17, 2010
Posts
41
Reaction score
26
Katika nchi hususan za Kiafrika, watawala wamekuwa wakionesha uoga mkubwa wa Demokrasia ingawa ndio inapelekea wao kuchaguliwa na kuingia madarakani.

Wamekuwa wakitumia nguvu kubwa hasa ya dola ili kuzima harakati zozote za kidemokrasia zinazofanywa wakiwa madarakani.

Je uoga huu unasababishwa na nini? Mwenye jibu naomba atuelimishe.
 
Wizi na ufisadi mkubwa walioufanya dhidi ya Watanzania. Wanahofia kukiwepo na demokrasi ya kweli hivyo kuwa na chaguzi huru na za haki hawawezi kushinda na kuendelea kuwepo madarakani. Na kama hawapo tena madarakani kupitia demokrasi maovu yao yote yanaweza kusababishwa wakamatwe na kufunguliwa mashtaka ya uhujumu uchumi, wizi na ufisadi na mvua za maovu haya si za lelemama na wanaweza kabisa kufilisiwa mali zao.

Hizo ni sababu za wao kukataa kwa kila namna uwepo wa demokrasi ya kweli nchini na kuamua kutawala kupitia mtutu wa bunduki ili kuzuia demokrasi ya kweli kwa nguvu zao zote.
 
Ukweli mtupu and the only reason waizi wooote.
 
[Democracy is the goverment of the people by the people for the people.

Dictatorship is the govement of the satan by the satan for the satans.

Sina nyongeza Mkuu..
Umemaliza kila kitu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Duniani hakuna demokrasia na hakutakuja kuwa na demokrasia mpaka mwisho wa dunia......

Isipokuwa tu vyombo vya habari vya kimataifa vimefanikiwa kuwaaminisha watu hivyo na watu wamesha amini hivyo lakini ukitazama kwa makini hata wahubiri wa demokrasia sio waumini wa demokrasia.........

Marekani anajulikana kwa kupigania uhuru wa kujitawala duniani na demokrasia lakini yeye mwenyewe amekuwa akiwa angamiza kwa Siri wana harakati wanaopigania Kujitawala Kwa jimbo la California......huku akimtaka China aliachie huru jimbo la Tibet.....

Hayo yote ni ngumu kuyasikia kwa kuwa media zao ndio zimetawala ulimwenguni na ndio wanaoamua wewe usikie nini.....!!?

Mataifa yaliyotambua mapema hila na udhalimu uliobebwa na ajenda ya demokrasia wamepiga hatua kubwa kimaendeleo kama China na wengine wengi.........
 
Wanaogopa democrasia kwa 7bu hawana dhamira ya dhati.
 
incompetence, they can't survive a fair competition! cowards.
 
Duniani hakuna demokrasia na hakutakuja kuwa na demokrasia mpaka mwisho wa dunia......

Isipokuwa tu vyombo vya habari vya kimataifa vimefanikiwa kuwaaminisha watu hivyo na watu wamesha amini hivyo lakini ukitazama kwa makini hata wahubiri wa demokrasia sio waumini wa demokrasia.........

Marekani anajulikana kwa kupigania uhuru wa kujitawala duniani na demokrasia lakini yeye mwenyewe amekuwa akiwa angamiza kwa Siri wana harakati wanaopigania Kujitawala Kwa jimbo la California......huku akimtaka China aliachie huru jimbo la Tibet.....

Hayo yote ni ngumu kuyasikia kwa kuwa media zao ndio zimetawala ulimwenguni na ndio wanaoamua wewe usikie nini.....!!?

Mataifa yaliyotambua mapema hila na udhalimu uliobebwa na ajenda ya demokrasia wamepiga hatua kubwa kimaendeleo kama China na wengine wengi.........

Ok Kama hakuna demokrasia basi hata haki ya kuchagua kiongozi tunayedhani anatufaa na si kuchaguliwa na TAASISI yeyote iwe Tume ya Uchaguzi,Polisi au Mahakama
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wamekuwa wakitumia nguvu kubwa hasa ya dola ili kuzima harakati zozote za kidemokrasia zinazofanywa wakiwa madarakani.
Demokrasia ni neno pana sana.labda ungetoa haswa nini kimezimwa ili tukusaidie,maana kitendo tu cha kufungua thread na kunung'unika umetumia demokrasia
 
Katika nchi hususan za Kiafrika, watawala wamekuwa wakionesha uoga mkubwa wa Demokrasia ingawa ndio inapelekea wao kuchaguliwa na kuingia madarakani.

Wamekuwa wakitumia nguvu kubwa hasa ya dola ili kuzima harakati zozote za kidemokrasia zinazofanywa wakiwa madarakani.

Je uoga huu unasababishwa na nini? Mwenye jibu naomba atuelimishe.
Mh utawala unaogopa demokrasia wakati kwenye uchaguzi mdogo wa kata 43 CHADEMA na ACT mnashiriki upuuzi mtupu
 
Katika nchi hususan za Kiafrika, watawala wamekuwa wakionesha uoga mkubwa wa Demokrasia ingawa ndio inapelekea wao kuchaguliwa na kuingia madarakani.

Wamekuwa wakitumia nguvu kubwa hasa ya dola ili kuzima harakati zozote za kidemokrasia zinazofanywa wakiwa madarakani.

Je uoga huu unasababishwa na nini? Mwenye jibu naomba atuelimishe.

Demokrasia ni matokeo ya jamii kongwe, kubwa iliyopitia hatua nyingi za makuzi na malezi ya evolution

ndio maana una ujima, ujamaa, ukabaila, ubepari n.jamii za kiafrika hatujapitia hizo hatua sisi wenyewe bali kwa kuforciwa tu

infact kihalisia maendeleo ya sasa ya nchi kama unahusianisha na jamii basi tuko miaka ya 1600s hata 1700 hatujafika

so unaona cosmetics za 21st century ukweli sisi hatumo, sio zetu hata DEMOKRASIA sio terminology yetu

haipo ccm, cdm, cuf, makanisani, misikitini, familia na kwenye ma taasisi...haipo

ukisema kuna chama au mahali unahisi kuna true democracy..basi utakuwa na matatizo ya akili ambayo ni serious na utadhihirisha unaishia miaka ya 1600s nyakati za unafiki
 
Sasa kama unajua tuko miaka ya 1600s nyie makamanda mbona mnalazimisha turukie 2017?
 
Inategemea unazungumzia demokrasia ipi,zipo aina nyingi za demokrasia,baadhi yake ni hizi hapa.
Islamic Democracy
Direct Democracy
Social Democracy
Presidential Democracy
Paliament Democracy
Christian Democracy
 
Democracy inachelewesha maendeleo na kulemaza watu
 
Demecracy gani unayoiongelea maana hata kwenye familia yenu haipo!

Back
Top Bottom