czani kama uko sahihi sana ..umeshafika Namibia au Botswana?Hili nimeliona kwamba sisi tuko tofauti sana na Waafrika wa nchi nyingine kitabia, sisi tumestaarabika sana ikilinganishwa na Waafrika wa nchi nyingine na hapa naongelea Waafrika weusi tuishio Kusini mwa Sahara!
Na hili utaliona karibia kila mahali kwamba tunawazidi Waafrika wengine sana kuanzia kwenye ustaarabu, vyakula tunavyokula, ni sisi watanzani pekee ndiyo tunaokula vyakula vya maana yaani hatuli vyakula vya ajabu ajabu kama Waafrika wengine kwa mfano Kongo wanakula Nyani na Sokwe kwetu hatuli, ukienda Afrika Magharibi kuanzia Kameruni mpaka Nigeria huko wanakula Kono kono, Mende, miti shamba na mizizi ya ajabu ajabu kwetu hatuli wanyama wa ajabu ajabu Tanzania tunakula nyama ya Ng'ombe, Mbuzi, Kuku, Kondoo baadhi Nguruwe, samaki lkn pia siyo wa aina zote kuna Samaki wengine Watanzania hatuli na tunachagua!
Ukija kwenye swala tu la maisha ya kila siku, Waafrika wengi hawawezi kusema tafadhali, asante, samahani, nakupenda, uniwie radhi, kwa heri ya kuonana, maneno ya kistaarabu kama haya hawana kwenye Misamiati yao kwa mfano ukienda Kenya ni kawaida mtu hata asiyekujua kukwambia we kuja hapa, sasa Mtanzania hawezi kusema hivi bali tutasema kistaarabu na kiheshima samahani nakuomba uje, sasa ni kwa nini tuko tofauti na Waafrika wengine?
Yaani sisi tumestaarabika zaidi klk Waafrika wengine wote niwajuwao, na hili hata sehemu zilizoendela kama AK nimefika huko Waafrika wa huko hawana ustaarabu kama wetu, Je kuna sababu maalumu kwamba sisi tuko tofauti na wao?
au imeandikwa kwenye vitabu vya Dini labda tumetabiriwa ...
Hili nimeliona kwamba sisi tuko tofauti sana na Waafrika wa nchi nyingine kitabia, sisi tumestaarabika sana ikilinganishwa na Waafrika wa nchi nyingine na hapa naongelea Waafrika weusi tuishio Kusini mwa Sahara!
Yaani sisi tumestaarabika zaidi klk Waafrika wengine wote niwajuwao, na hili hata sehemu zilizoendela kama AK nimefika huko Waafrika wa huko hawana ustaarabu kama wetu, Je kuna sababu maalumu kwamba sisi tuko tofauti na wao?
au imeandikwa kwenye vitabu vya Dini labda tumetabiriwa ...
Nyamaza Dr Magufuli afanye kazi.Ndo maana tunapelekwa kidicteta afu tunakubali
czani kama uko sahihi sana ..umeshafika Namibia au Botswana?
Ustaarabu wetu untokana na misingi ya utu na ubinadamu tuliyowekewa na Raisi wetu wa kwanza Nyerere. Nchi nyingine za Afrika kutokana na aina ya viongozi wao walipopata uhuru, iliwafanya watoke kabisa kwenye kuwa wastaarabu.
Angalia Afrika Kusini kwa mfano; athari za mambo waliyopitia zinafanya wawe kama wanyama wakali wa mwituni. Ila kuna exceptions kama Botswana, Namibia. Nao ni wastaarabu sana, na pia unaweza kuihusianisha na viongozi wao kama kina Seletsi Khama na Sam Nujoma.
Tuko vizuri kwenye lugha nzuri .ila vyakula usisahau "washawasha na panya wanaliwa vizuri sana"
Cc:wamakonde
Kwa taarifa yko tu..wabotswana wamestaarabika mkuu...japo c wote kama ilivyo hapa kwetuBotswana siwajui ila Wanamibia nawajua sana, nimefika Windhoek na wao wamegawanyika sehemu mbili kuna wale machotara ambao hawautaki Uafrika na wanajiita Wazungu na Waafrika asili na hao waafrika asilia ndiyo bure kabisa nimefika Katutura huko Windhoek, ni bure na siyo Wastaarabu kabisa, kwetu hata kama utakuta watu wana hali duni ya maisha lkn bado tuna ustaarabu!
Sawia mkuu! No research no right to speak?czani kama uko sahihi sana ..umeshafika Namibia au Botswana?
Kweli mkuu. Yawezekana kama tungekuwa tunakula kama hao wenzetu leo hii pro Lipumba asingekuwa kioja.Ila ni wajinga, wabinafsi na waoga
Ebu subiria comment za wengine[/QUOTE]Basi ="Barbarosa, post: 16519972, member: 284899"]Kama hiyo ni kweli basi Tanzania pia ni kubwa kwani sijawahi kukutana na Mtanzania anakula washa washa na nimezunguka hapa nyumbani sana tu!