UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Sorry typing errorUzarendo ni ritabia rinarokuwa porepore
DaahLoh!bora uzungumzie mengine lakini siyo hili li-nchi,ovyo kabisa!ni kama Jehanamu.
Unafikiri hivi vinatosha? Ni kweli hapa ndipo tulipokosea?Mkuu hilo tatizo lilianzia pale tulipofuta somo la siasa shuleni.tukalibatiza sijui civics,tukabadilisha mitaala yetu,tukaua JKT.Na sisi tukakoma kuwa taifa.
Usishangae mkuu,mara ya mwisho kufurahia utanzania wangu ni kipindi nikiwa mtoto mchanga,tangu kipindi kile kodi ya kichwa inafanya kazi,nilijisikia vibaya sana kuona wazazi wangu wanakimbilia porini kukwepa kamata kamata,ilipofutwa,ufisadi na dhuluma vikashika hatamu.Njia pekee ya kurudisha uzalendo ni mpak fisiem iondoke.Daah
Kwa fikra zangu za kkk,naona kama kila mtoto kitu chake cha thamani kukijua ni familia yake,cha pili ni taifa lake na hayo unajifunzia shuleni kwa elimu,nyimbo,michezo nk. Siku hizi hata muingiliano wa jamii umekufa,hatuna marafiki wala mashujaa,anyone can be a hero at any time.Unafikiri hivi vinatosha? Ni kweli hapa ndipo tulipokosea?
Very hurting but unafikiri kipo chama kinachoweza kuokoa Taifa kutoka kwenye huu uzandiki !? Je nini kifanyike sote tufaidike hasa watoto wetu wafurahie matunda ya mbegu njemaHawana uzalendo kwa sababu ya ccm!
Walikuwa Wazalendo sana enzi za TANU na mwanzo wa CCM, lakini baadaye CCM imegeuka zimwi na kula uzalendo wao wote!.
Tulipigana vita vya uganda utkiwa wamoja kabisa kwa mapenzi ya dhati, lakini leo hii hatuwezi hata kuwachukulia hatua mafisadi walioko CCM!.
CCM imewaaminisha watu kwamba unafiki unalipa!.
CCM imeondoa mshikamano wa kitaifa imeleta mafarakano na matabaka.
CCM inawadharau wananchi na kuwafanya mali yake binafis na hivyo kuwaondolea upendo kwa nchi!.
CCM inafuga uharlifu kwa gharama ya wazalendo na kuwonyeshe Wazalendo kwamba uzalendo wao ni utumwa na mauti yao ni uhai wa Ccm!
CCM hainawajali Watanzania na inawatumia kwa kunufaisha watu wachache!
Ubaguzi, dharau, dhihaka, uonevu na uwongo wa ccm kwa Watanzania, ulaghai na matumizi ya nguvu badala ya hoja katika utawala, yamewafanya Watz waone hawna haki katika nchi il wao ni vibarua wa kuwazalishia na kuwalinda ccm.
CCM ndiyo sababu ya kuua uzalendo katika nchi kwa sababu viongozi wa CCM na mawakala wao hawana Uzalendo!
Lakini ni nani ataokoa unafikiri ni hao tu sio wazalendo!?!
!
Ni kwa sababu Uzalendo kwa huku ni sawa na um#ufiasisiem
Sina imani na hao wengine kama ilivyo kwa hawa waliopo sasa sijui ni wapi tutaponeaUsishangae mkuu,mara ya mwisho kufurahia utanzania wangu ni kipindi nikiwa mtoto mchanga,tangu kipindi kile kodi ya kichwa inafanya kazi,nilijisikia vibaya sana kuona wazazi wangu wanakimbilia porini kukwepa kamata kamata,ilipofutwa,ufisadi na dhuluma vikashika hatamu.Njia pekee ya kurudisha uzalendo ni mpak fisiem iondoke.
Sure nakumbuka hii kitu lakini sikuhizi mmmnhKwa fikra zangu za kkk,naona kama kila mtoto kitu chake cha thamani kukijua ni familia yake,cha pili ni taifa lake na hayo unajifunzia shuleni kwa elimu,nyimbo,michezo nk. Siku hizi hata muingiliano wa jamii umekufa,hatuna marafiki wala mashujaa,anyone can be a hero at any time.
Unafikiri nini kifanyike!?Kula wale wachache, sheria na mikataba waingie wachache Kwa maslahi yao binafsi, likibuma ndio wajifanye kutuaminisha kutuungane kutetea rasilimali zetu. Katika hali kama hiyo uzalendo unatoka Wapi.
Wazee wetu walikua wazalendo enzi za kusaka Uhuru. Uzalendo wakulazimisha pasipo vitendo hauwezi kudumu
Wewe utakuwa ni muhamiaji haramu. Tanzania ndio nchi bora kabisa katika dunia hii. Wazalendo tunajivunia kuwa na nchi kubwa yenye kila kitu kizuri. Proud Tanzania. Hakuna kama Tanzania.Loh!bora uzungumzie mengine lakini siyo hili li-nchi,ovyo kabisa!ni kama Jehanamu.