jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,373
- 43,248
Nahisi labda uhitaji wake kwa maeneo yetu, hatuhangaiki sana kuendesha joto ndani ya nyumba. Lipo wastani automatically nje na ndani sio tofauti ya kutisha, au simply we dont care.Je, ni kwasababu zipi zinachangia aina ya matofari haya yasitumike hapa nchini.
Kwanini Watz hatuyatumii wakati shida ni nini hasa?Hizo tofali zinatumika sana lusaka nchini zambia
UongoNdugu yangu aliyatumia haya katika ujenzi maeneo ya Lugalo, sasa hivi nyumba yote ina nyufa.
Kwamba yanasababisha kuleta nyufa au?naomba logic ya uhusiano wa aina hiyo ya matofari na nyufa katika nyumba.Ndugu yangu aliyatumia haya katika ujenzi maeneo ya Lugalo, sasa hivi nyumba yote ina nyufa.
Ukienda Njombe Kuna sehemu inaitwa Imiliwaha Kuna Convent kubwa sana ya masista wa kanisa Katoliki. Wamejenga kamji kao.. Wanatumia hizo Tofali miaka na miaka.Wakuu habari.
Tumezoea kuona maeneo mengi nchini wakitumia aina mbalimbali za matofari katika shughuli nzima za ujenzi..kuanzia matofari ya tope yale ya kuchoma na pia matofari ya simenti au kwakizungu ni cement building blocks.
View attachment 2230388
Panya Road,hizo hollow blocks hazifaiWakuu habari.
Tumezoea kuona maeneo mengi nchini wakitumia aina mbalimbali za matofari katika shughuli nzima za ujenzi..kuanzia matofari ya tope yale ya kuchoma na pia matofari ya simenti au kwakizungu ni cement building blocks.
Katika haya matofari ya simenti tumezoa haya ambayo ni tofari ambalo linameungana lote.
Haya matofari yanakula sana mchanga na simenti pia yanahitaji maji mengi sana kuyamwagilia ili yaweze kua imara...kingine matofari haya ni mazito sana. Pamoja na sifa hizo bado yanaendelea kutumika maeneo mengi nchini.
Je, kwanini hatutumii matofari haya ambayo kwanza yatumia simenti na mchanga kidogo pia maji sio mengi yanayohitajika na pia yana uzito mdogo kurahisiha ubebaji na usafirishaji wake.
Je, ni kwasababu zipi zinachangia aina ya matofari haya yasitumike hapa nchini.
Picha nimeambatanisha[emoji116][emoji116][emoji116]
#MaendeleoHayanaChama
View attachment 2230388
Unaifahamu hiyo nyumba?Uongo
Tatizo sio tofali bali walifyatua vipi?Ndugu yangu aliyatumia haya katika ujenzi maeneo ya Lugalo, sasa hivi nyumba yote ina nyufa.
Umenikumbusha enzi hizo magufuli akijidai na yeye ni injinia daah!Tofali hizi hazina nguvu ya kubeba mzigo juu yake, hivyo hutumika zaidi katika kuta za ndani ambazo hazibebi uzito wowote zaidi ya kutenganisha vyumba.
Zaidi zina tabia ya kupenyeza maji.... kwa tabia hii hazifai kwa kuta za nje.
Lakini si kuna linta..pia mbona maeneo mengine yanatumia vzr tu kwa kuta za nje.Tofali hizi hazina nguvu ya kubeba mzigo juu yake, hivyo hutumika zaidi katika kuta za ndani ambazo hazibebi uzito wowote zaidi ya kutenganisha vyumba.
Zaidi zina tabia ya kupenyeza maji.... kwa tabia hii hazifai kwa kuta za nje.