Kwanini wasichana wanafikiriwa vibaya

Kwanini wasichana wanafikiriwa vibaya

Mimi alone

Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
36
Reaction score
3
Kwanini watu wanawachukilia vibaya wasichana wanaotafuta marafiki,wachumba kwenye mitandao kama malaya?
 
nawashangaa! watu tupo busy hatuna muda wa kuonana na watu mitaani, tukitafta jf tunaambiwa vibaya vyajitembeza wakati totoz za ukweliii!
 
kwahiyo ???
kwani ww ulikuwa unasemaje?
 
nawashangaa! watu tupo busy hatuna muda wa kuonana na watu mitaani, tukitafta jf tunaambiwa vibaya vyajitembeza wakati totoz za ukweliii!

Tehe tehe....watt mashalah lol
 
weee sasa kwani uwongo bwan.....mie naona hiyo ya kuwa malaya labda a bit far fetched but am sure totoz za ukweli zinakuwa wine nd dined na vijeba vyenye hela zao.

similarly wanaume wa ukweli wenye dollar zao hawezi kukaa jf anatafuta bupa...bupa zajigonga zenyewe huko mtaani
 
husninyo waache waendelee kuongea maana wanashindwa kujua walioko jf ndo walioko mtaani tena wa jf kuwajua na tabia ni rahisi maana daily mpo pamoja hapa,WATU TUNAZIDI KULA RAHA,lalamika tu wenzako wanaolewa na kuoa
 
ebu wacheni kuleta zenu hapa tuwe wakweli tuu
bith men nd women tuliokuwepo jf looking for a better half have a problem. mie najua kabisa wanawake waUri na warembo hawana muda wakukaa online muda mwingi...wanatolewa out huko na wanaume wa ukweli bwana.
 
tena humu ndio wanajiachia na tunawasoma vizur.
 
ebu wacheni kuleta zenu hapa tuwe wakweli tuu
bith men nd women tuliokuwepo jf looking for a better half have a problem. mie najua kabisa wanawake waUri na warembo hawana muda wakukaa online muda mwingi...wanatolewa out huko na wanaume wa ukweli bwana.

wanawake wazuri na warembo tunatafta pesa zetu na tunatoka kwa ratiba zetu na si kutolewa outing na wanaume. ndio maana tunaonekana online.
 
hahha kamdanganye kuku. mwanamke ata akiwa na million bado atataka kula buku kumi ya njemba...wazuri wanajipanga watatija wapi leo tena sio hapa bongo tayari wanakula bata nje ya nchi
 
tatizo unakariri maisha bazazi.
 
hahha kamdanganye kuku. mwanamke ata akiwa na million bado atataka kula buku kumi ya njemba...wazuri wanajipanga watatija wapi leo tena sio hapa bongo tayari wanakula bata nje ya nchi

siyo wote elewa hivyo...samaki mmoja akioza si wote
 
ebu wacheni kuleta zenu hapa tuwe wakweli tuu
bith men nd women tuliokuwepo jf looking for a better half have a problem. mie najua kabisa wanawake waUri na warembo hawana muda wakukaa online muda mwingi...wanatolewa out huko na wanaume wa ukweli bwana.

hawo wazuri na warembo wakoje unadhani wanatolewa out na wanaume wa ukweli?kuwa online si kwamba umeshindwa kutoka out bali unapenda kupata habari mbalimbali na kuexchange ideas na watu tofauti tofauti
 
Back
Top Bottom