Tata ya bana
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 304
- 369
Wakuu naomba mwenye kufahamu yafuatayo ajibu.nchi za ulaya wanamsupport Ukraine katika vita anayopambana nayo,sasa kwann wapalestina hawapati support yoyote kutoka nchi za kiarabu??
Maelekezo kutoka Washington yanasemaje?Wakuu naomba mwenye kufahamu yafuatayo ajibu.nchi za ulaya wanamsupport Ukraine katika vita anayopambana nayo,sasa kwann wapalestina hawapati support yoyote kutoka nchi za kiarabu??
S mnasema mambo yao wachueni wenyew sasa uzi wa nn na hayakuhusuWakuu naomba mwenye kufahamu yafuatayo ajibu.nchi za ulaya wanamsupport Ukraine katika vita anayopambana nayo,sasa kwann wapalestina hawapati support yoyote kutoka nchi za kiarabu??
Waarabu wameshawekwa chini ya himaya ya mabeberuWakuu naomba mwenye kufahamu yafuatayo ajibu.nchi za ulaya wanamsupport Ukraine katika vita anayopambana nayo,sasa kwann wapalestina hawapati support yoyote kutoka nchi za kiarabu??
Qatar ni nchi ya kizungu ?Wakuu naomba mwenye kufahamu yafuatayo ajibu.nchi za ulaya wanamsupport Ukraine katika vita anayopambana nayo,sasa kwann wapalestina hawapati support yoyote kutoka nchi za kiarabu??
Wengi ni vibaraka wa USA hapo say Egypt, Jordan, Saudia wote ni puppets so hawawezi msaidia wakihofia kumuudhi boss wao.Wakuu naomba mwenye kufahamu yafuatayo ajibu.nchi za ulaya wanamsupport Ukraine katika vita anayopambana nayo,sasa kwann wapalestina hawapati support yoyote kutoka nchi za kiarabu??
Right kivipi, yaani wanakalia ardhi ya watu alafu wapo right!?Hawawezi nunua ugomvi. Maana deepdown wanajua Israeli yupo right
Mzungu yupi kajirekebisha?mzungu kujirekebisha, ( atleast )
Tofautisha palestina na Hamas, inaonekana una uelewa mdogo sana. Hivi unajua kuna utawala mwingine kule westbank chini ya Mahmoud Abbas ambao ndio unatambulika zaidi kimataifa na unapokea mabilion kutoka nchi za kiarabu. Tatizo wengi wana mahusiano mazuri na USA hivyo wanahofia kumpa msaada Hamas utavuruga mahusiano mazuri na US.LAKINI MUARABU ????? mpaka leo hii MUARABU ANAUBAGUZI WA HALI YA JUU,HAWEZI KUWASAIDIA WAPALESTINA
Ushenzi kuliko wa wazungu hivi umewahi soma ukoloni ulivyomaliza watu DRC na Namibia yaani visima wanatia sumu kuua vijiji vizima enzi za kina King LeopoldUkiujua ubaguzi na Ushenzi wa waarabu, Utakaa mbali kabisa na kila kitu chenye Uarabu.
Kwasababu WAARABU NI WASHENZI, WABAGUZI, worst than any HUMAN YOU CAN IMAGINE. Mzungu alitutawala na kuhusika na biashara za utumwa lakini leo hii mzungu kujirekebisha, ( atleast ) anatukaribisha Ulaya, tunapata kazi , tunaoa wazungu, tunahaki ya uraia kwenye nchi zao, LAKINI MUARABU ????? mpaka leo hii MUARABU ANAUBAGUZI WA HALI YA JUU,HAWEZI KUWASAIDIA WAPALESTINA kwasababu wanawaona ni third class citizens,.... Mimi hata ninapoona Wafrika na Mikanzu mitaani kucoppy tamaduni za kiarabu huwa nasema kimoyomoyo kuwa hawawajui Waarabu.... Ukiujua ubaguzi na Ushenzi wa waarabu, Utakaa mbali kabisa na kila kitu chenye Uarabu.
Yes Indeed, kwasababu ya IGNORANCEFICHA UJinga Wako
Mkuu salute kwako.Mungu akuongezee maarifa zaidiMigongano ya Maslahi ya Kisiasa
Nchi nyingi za Kiarabu zina masuala ya ndani kama siasa, uchumi, na migawanyiko ya kidini (Sunni vs Shia). Hivyo mara nyingi huchagua kutojihusisha sana moja kwa moja ili kuepuka kugombana na mataifa makubwa.
Baadhi ya serikali za Kiarabu zina hofu kuwa ukitoa msaada mkubwa wa kijeshi kwa Palestina kutazichonganisha na Marekani na washirika wake.
---
2. Makubaliano na Israel
Mataifa kama Misri na Jordan tayari yamesaini makubaliano ya amani na Israel. Hivyo hawawezi kuonekana kusaidia vita dhidi ya Israel moja kwa moja.
Nchi kama Falme za Kiarabu (UAE), Bahrain, Morocco, na Sudan zimeanzisha uhusiano wa kawaida na Israel kupitia Abraham Accords (2020). Hii imepunguza sauti ya umoja wa Kiarabu dhidi ya Israel.
---
3. Uhasama wa Ndani ya Kiarabu
Kuna mgawanyiko ndani ya Kiarabu kuhusu nani aisaidie Palestina:
Qatar na Uturuki mara nyingi huwasaidia Hamas (kwa fedha na misaada).
Saudi Arabia na Misri huwa wanasaidia Fatah/Palestinian Authority zaidi.
Mgawanyiko huu unafanya Palestina kukosa msaada wa pamoja.
---
4. Udhaifu wa Umoja wa Kiarabu
Umoja wa Kiarabu (Arab League) mara nyingi unatoa misimamo ya maneno tu bila vitendo vya moja kwa moja. Kuna ukosefu wa mshikamano wa kweli katika utekelezaji.
---
5. Mambo ya Uchumi na Ulinzi
Mataifa ya Ghuba (Saudi, UAE, nk) yanafanya biashara kubwa na Marekani na hata kushirikiana kisilaha na Israel. Kupinga Israel waziwazi kutahatarisha uchumi na usalama wao.
Wanapendelea “uchumi kwanza” kuliko kuingia kwenye vita visivyo na mwisho.
---
6. Palestina yenyewe kugawanyika
Mgawanyiko wa kisiasa kati ya Hamas (Gaza) na Fatah/PA (West Bank) unawafanya hata Waarabu washindwe kuelewa nani wa kusaidia. Hii imepunguza mshikamano wa Kiarabu kwao
Ngoja waje waarabu wa Same na Kahama waje wakupinge. Ila umeongea vyema sana.Kwasababu WAARABU NI WASHENZI, WABAGUZI, worst than any HUMAN YOU CAN IMAGINE. Mzungu alitutawala na kuhusika na biashara za utumwa lakini leo hii mzungu kujirekebisha, ( atleast ) anatukaribisha Ulaya, tunapata kazi , tunaoa wazungu, tunahaki ya uraia kwenye nchi zao, LAKINI MUARABU ????? mpaka leo hii MUARABU ANAUBAGUZI WA HALI YA JUU,HAWEZI KUWASAIDIA WAPALESTINA kwasababu wanawaona ni third class citizens,.... Mimi hata ninapoona Wafrika na Mikanzu mitaani kucoppy tamaduni za kiarabu huwa nasema kimoyomoyo kuwa hawawajui Waarabu.... Ukiujua ubaguzi na Ushenzi wa waarabu, Utakaa mbali kabisa na kila kitu chenye Uarabu.
Chief unaona kinachoendelea hapa nchini? Kuna Taasisi yoyote ya kidini ya kislamu umeiona imesimama kidete kupinga kinachoendelea? Unahisi kwanini?Wakuu naomba mwenye kufahamu yafuatayo ajibu.nchi za ulaya wanamsupport Ukraine katika vita anayopambana nayo,sasa kwann wapalestina hawapati support yoyote kutoka nchi za kiarabu??