Hivi punde JF-Expert Member Joined Apr 1, 2017 Posts 2,554 Reaction score 8,627 Dec 7, 2017 #1 Waliooa wanawake wenye ndevu tusaidieni kitu. Ndevu zao hunyolewa au huwa hazikui? Wengi hawapendagi kuzinyoa ili tusiwatofautishe na waume zao! Lkn inakuwaje unaoa mwenye ndevu aisee? Wawe wanasafisha videvu vyao basi.
Waliooa wanawake wenye ndevu tusaidieni kitu. Ndevu zao hunyolewa au huwa hazikui? Wengi hawapendagi kuzinyoa ili tusiwatofautishe na waume zao! Lkn inakuwaje unaoa mwenye ndevu aisee? Wawe wanasafisha videvu vyao basi.
GuDume JF-Expert Member Joined Jan 18, 2015 Posts 6,700 Reaction score 14,641 Dec 7, 2017 #2 Wanakuja wataalam hivi punde
leiguanan JF-Expert Member Joined Jun 24, 2017 Posts 618 Reaction score 1,905 Dec 7, 2017 #3 Mimi mwanamke mwenye ndevu namwogopa nikiongea naye kumwangalia naogopa [emoji23] [emoji23] . Sasa na wewe hii thread ndiyo ya kuwekea news alert??
Mimi mwanamke mwenye ndevu namwogopa nikiongea naye kumwangalia naogopa [emoji23] [emoji23] . Sasa na wewe hii thread ndiyo ya kuwekea news alert??
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,675 Reaction score 126,914 Dec 7, 2017 #4 Wape hela za kwenda kunyoa saloon
P Pohamba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 27,626 Reaction score 61,277 Dec 7, 2017 #5 Wanaogopa kuzinyoa zinasambaa kwny kidevu chote
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 54,396 Reaction score 80,357 Dec 7, 2017 #6 Hivi punde said: Waliooa wanawake wenye ndevu tusaidieni kitu. Ndevu zao hunyolewa au huwa hazikui? Wengi hawapendagi kuzinyoa ili tusiwatofautishe na waume zao! Lkn inakuwaje unaoa mwenye ndevu aisee? Wawe wanasafisha videvu vyao basi. Click to expand... hahaaaa nadhani huwa wanapatwa nahofu yakuzinyoa kwakuamini kuwa wakizinyoa nisawa nakuziwekea mbolea ..nakuzifnya zikiota tena zitaota kwawingi nakujaa kidevuni
Hivi punde said: Waliooa wanawake wenye ndevu tusaidieni kitu. Ndevu zao hunyolewa au huwa hazikui? Wengi hawapendagi kuzinyoa ili tusiwatofautishe na waume zao! Lkn inakuwaje unaoa mwenye ndevu aisee? Wawe wanasafisha videvu vyao basi. Click to expand... hahaaaa nadhani huwa wanapatwa nahofu yakuzinyoa kwakuamini kuwa wakizinyoa nisawa nakuziwekea mbolea ..nakuzifnya zikiota tena zitaota kwawingi nakujaa kidevuni
Night Watch JF-Expert Member Joined Apr 4, 2017 Posts 2,102 Reaction score 2,154 Dec 7, 2017 #7 Wanaogopa kwa sababu kunyoa ni sawa na kutia mbolea kidevu,kwa hiyo inaweza kupelekea kufanana 100% na videvu vya waume zao.
Wanaogopa kwa sababu kunyoa ni sawa na kutia mbolea kidevu,kwa hiyo inaweza kupelekea kufanana 100% na videvu vya waume zao.
GuDume JF-Expert Member Joined Jan 18, 2015 Posts 6,700 Reaction score 14,641 Dec 7, 2017 #8 Vyuma vimekaza.. Usidhan ni rahisi kunyoa ndevu. Buku tano kila week. So wameamua kuziacha tu