Wapo mkuu. Siku moja nilikatiza mtaan huku bush. Nikakutana na tukio la mama mmoja anatapika hadi anapumlia mlango mkuu. Kwa kuwa namfaham niliuliza chanzo ili kutoa ushauri namna ya kupunguza ile hali. Kabla hajajibu, jiran yake kankambia acha tu atatulia mwenyewe. Nikawaza haraka kuwa wanajuana hawa. Nikamfinya kiaina yule jirani yake nimwulize kwanini kajibu vile. Akaniambia kwa kawaida huyo mama akila koni lazima atapike. Niliondoka nikacheke mbele ya safari.Hivi wapo pia ambao hawapatani na mkuyuge a.k.a mshedede?