Kwanini wanawake wanakuwa hivi?

Hapo kuna mawili inferiority complexy kwa mwanaume na pride kwa mwanamke....
Baadhi ya wanawake wakielimika huwa wanajikuta wao ndo wao na huwezi kuwaambia kitu.....
Pia kuna ile dhana ya how can date or marry mtu nilimzid elimu?!.....
 
Wanaume wengi tunaogopa changamoto toka me, hatupendi kuulizwa baadhi ya maswali eg mbona umechelewa au pesa flan imetumikaje nk. Tunapenda ke was kuitikia ndio Mme wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…