AililililililiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiAmini usiamini ipo siku nitawaalika wana mmmu kwenye harusi yangu. Hilo sina shaka kabisa
Hii ni 💯, mbaya zaidi ukiwa jobless.Unataka stress kwny mahusiano yako,
Anza kuhoji pesa ya mwanamke wako
Hamna namna lazima tuoa lakini tumefunguka machoSipo kwenye kampeni ya kataa ndoa ila uliyoyaongea ni 99% sahihi ila Mwenyezi Mungu alisema tuishi nao hivyo hivyo kwa akili.
-Naongezea mwanamke akiwa financially stable anawaza kuishi peke yake anaona ndoa inambana.
Wanawake hawasahau kwao,pesa yao wako radhi kutumia na ndugu zao( baba,kaka dada na mama zao wa kuwazaa) kuliko kuitumia Kwa watoto waliowazaa.Wasalaam wana JF
Katika pitapita zangu za kimaisha jambo kubwa ambalo nimelishuhudia, nimesimuliwa na kupata uzoefu kutoka kwenye forum mbali mbli pamoja na JF, ni kwamba wanawake wengi ni wabinafsi na wachoyo...
Positive mindset will give u a positive solutionJe kwa kuponda wanawake na kutengeneza defence mechanism tunatatua tatizo?...
Hivi unajua kwa nn paulo alisema hayo maneno... paul wanted us to be considerate of your menstrual cycle nothng else.. huo mstari mnautumia kama chaka tu.It takes a woman and a half to have man's attitude.
Kuna vitu ukivipinga kutoka kwa mwanamke ni kupingana na asili ya mwanamke.
Muishi nasi kwa akilii repeat ishi na mwanamke kwa akili.
Kuweni positive banaHa ha ha tunachakata ya ulimwengu na walimwengu
Haya mambo hayaepukiki na kuwaponda hatumaanishi kuwa tunawachukia, tunatoa experience kwa vijana wanaochipukiaJe kwa kuponda wanawake na kutengeneza defence mechanism tunatatua tatizo??
You can opt to be a fuckboy n.k lakn at sm point in life u gotta settle down. Sasa ukiwa messed up psychologically hii inakua tatizo pia...
issue siyo kutoa ni kuwa responsible, mbona kwenye vicoba mnatoa? Hizo hela zenu zina pile up tu bank au mnatumia? Sasa kwanini usitumie na familia, huo ni ubinafsiWanasaikolojia wengi wamekuwa wakisisitiza mwanamke hakuumbwa kutoa bali kupokea (upendo/zawadi/maelekezo/genye... etc).
Ipo hivyo na haiwezi kubadilika
Tunafundisha jamii, wajibu wa kila mtu kwenye mahusiano, ndoa au mengineyo. Dont take advantage, participate fully kwenye ujenzi wa mahusiano au familia on equitable basis.Kuweni positive bana
Hii mbegu mnayoipanda madhara yake ni makubwa kuliko faida kwa vizazi vijavyo
Ila mbegu mliyopwnda nyie ndio hamuoni madhara yakeKuweni positive bana
Hii mbegu mnayoipanda madhara yake ni makubwa kuliko faida kwa vizazi vijavyo
Me bahati mbaya au nzuri ninaamini kwenye traditional roles za men and women.Tunafundisha jamii, wajibu wa kila mtu kwenye mahusiano, ndoa au mengineyo. Dont take advantage, participate fully kwenye ujenzi wa mahusiano au familia on equitable basis.
Sawa naelewa hili. Lakoni tumeangalia impact ya hiyo experience.Haya mambo hayaepukiki na kuwaponda hatumaanishi kuwa tunawachukia, tunatoa experience kwa vijana wanaochipukia
Punguza hasira tafuta hela swahbaIla mbegu mliyopwnda nyie ndio hamuoni madhara yake
Tunawapenda tunataka mbadili tabiaTumekukera Nini mbona kutusimanga alfajiri?
Hapo kwenye green anaweza kupokea maelekezo yote lakini sio ya namna ya kutumia pesa zake.Wanasaikolojia wengi wamekuwa wakisisitiza mwanamke hakuumbwa kutoa bali kupokea (upendo/zawadi/maelekezo/genye... etc).
Ipo hivyo na haiwezi kubadilika