mzibua chemba
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 476
- 413
Hivi kwa mabinti kuna ulazima gani wa kuanza mapenzi mapema? Kwanini msingejiheshimu na kukaa mpaka kuolewa mkiwa mabikra?
Unajua mwanaume angekuheshimu sana kama anakuja kukuoa anakuta hujatumika kwa njia yoyote. Hii inaleta dharau kuoa used unayojua kabisa huyu alishatumika.
Kama kule kwa mfalme Mswati wale mabint kiukweli wanajitunza sana wanavutia kuanzia maungo yao unaona kweli binti chuchu zilivyosimama. Sasa kwa mabinti wa huku kwetu binti Ander 18 chuchu saa kumi na mbili zishakua ndala...
Kiukweli ingekuwa sifa na heshima kama mngejitunza mkaolewa mabikra