Kwanini wanawake mnajisahau?

Kwanini wanawake mnajisahau?

Ashaambiwa na kaka( mumewe) na alishaambiwa tangu anachumbiwa kwamba akijiachia akawa futufutu italeta matatizo. Mumewe yupo vilevile hajabadilika
basi miache alielie hivohivo..
mpaka atapoamua kujipunguza..
 
Heeee mi najitahidi kurudisha umbo langu la zamani na nimefanikiwa kwa kiasi fulani...........hio mijanaume haitosheki tuuuu hata uwe vipi
 
Hata wanaume wengi sana wanajisahau tena ya weza kuwa 90%, ndio maana soko la faru dume limeshamiri.
 
Heeee mi najitahidi kurudisha umbo langu la zamani na nimefanikiwa kwa kiasi fulani...........hio mijanaume haitosheki tuuuu hata uwe vipi
u mean hata ukijipunguza na kuwa bomba bado atachepuka tu?
 
ni kula tu kwa kuzingatia ratiba..sio mtu mda wote anakula tuu..
hata kama umenenepa..unaweza kurudi mwanzo bila gharama za juu..pika mlo wako bila mafuta mengi..tumi asali badala ya sukari..pika samaki badala ya nyama..vichemshe badala ya kukaanga.
usile vyakula vya makopo..
tengeneza juice ya ndimu bsdala ya parachichi..chukua hata kamba ndani uruke
ni mengi tu
Gharama yote hayo...

Si rahisi kihivyo...
 
Back
Top Bottom