Kwanini wanaume wako hivi?

Baadhi tu wa wavulana ndio wanasema hivyo mwanaume wa kweli kama umemkataa kwa zereu huwa hakuwachi hata mwaka anakusumbua tu na pesa anakupa ukirogwa kumvulia chupi mbio nyingi
 
SCRIPTED MOVIE.........

HATA KAMA INATOKEA SIO KWA WOTE, WENGINE TUMETULIA ZETU HUKU
 
Baadhi tu wa wavulana ndio wanasema hivyo mwanaume wa kweli kama umemkataa kwa zereu huwa hakuwachi hata mwaka anakusumbua tu na pesa anakupa ukirogwa kumvulia chupi mbio nyingi
Eti eh
 
Hata usiohope kuambiwa upo shapeless.

Wakati anakufukuzia ulikuwa hivyo hivyo.

Ni maneno ya mkosaji tu especially from these petty men with low self esteem.
 
Hoja yako mchecheto Sana
Wanawake mnatufundisha uongo wa kiwango Cha rami mkikili hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukiona mdada wafanyiwa hivo basi amini una kaa mashenzini watu hawana maisha bomba.Hama huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…