Mambo mrembo..😉Nilikuwa naangalia movie ya kinigeria.
Basi kuna msichana anafuatiliwa na mwanaume ila huyo dada hataki yule dada alipomwambia ukweli yule kaka akaanza kumdis oh wewe ni shepless sijui ungekubali nisingekuleta kwangu ninapoishi sijui ningekutumia kichakani au lodge ya mbali hufai .
Yaani maneno kibao yasioyaheshima basi yule dada akabidi amwambie anamtu wake ndio maana hakuona haja yakusaliti penzi lake.
Ila wakaka sio kila mtu unamdis kisa hakutaki au anamahusiano mengine eleweni kuwa sio kila mwanamke atakupenda
Ok ngoja waje wanaotoa maneno ya shombo.Nilikuwa naangalia movie ya kinigeria.
Basi kuna msichana anafuatiliwa na mwanaume ila huyo dada hataki yule dada alipomwambia ukweli yule kaka akaanza kumdis oh wewe ni shepless sijui ungekubali nisingekuleta kwangu ninapoishi sijui ningekutumia kichakani au lodge ya mbali hufai .
Yaani maneno kibao yasioyaheshima basi yule dada akabidi amwambie anamtu wake ndio maana hakuona haja yakusaliti penzi lake.
Ila wakaka sio kila mtu unamdis kisa hakutaki au anamahusiano mengine eleweni kuwa sio kila mwanamke atakupenda
Kumbeee kwa hiyo mimi nikikuita chokoraa huna hela umekomaa na hauna hadhi na mimi huo ni ukweliYale maneno mwanamke anayo ambiwa na mwanaume pindi wanapoachana au kukataliwa ule ndo ukweli wenyewe
Akikwambia nlikua nataka kukutumia tu (huo ndo ukweli)
Akikwambia lengo langu ilikua Ni kuish na ww ila umeamua mapenz yetu yaishie hapa (huo ndo ukweli)
Msikasirike mkiambiwa ukweli
Sent using Gun Trigger
Wewe kwani hujawahi kasirika uliponyimwa?Kumbe ni ndani ya Movie,lakini mbona na wewe unamuiga tabia yule mdada wa kwenye movie anaeitwa SENSIA KANI,anapiga yule
AsanteePole kwa yaliyokukuta mrembo
Ni kweliii hujakoseaHao ni wavulana...
Tunajua ila sio kila mtu atawakubaliHata nyinyi eleweni sio kila mwanaume atakuhonga maana mkipata mwanaume mnaona kama mmepata ajira kwenye kampuni kubwa yenye marupurupu kibao
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndo ukweli pengne umeshapata mwenye pesa zaid ni lazma unione chokoraaKumbeee kwa hiyo mimi nikikuita chokoraa huna hela umekomaa na hauna hadhi na mimi huo ni ukweli
Hata nyinyi eleweni sio kila mwanaume atakuhonga maana mkipata mwanaume mnaona kama mmepata ajira kwenye kampuni kubwa yenye marupurupu kibao
Sent using Jamii Forums mobile app
Meaning??Mbaazi Ukikosa Maua Husingizia Jua
Umekuta mtu anaurafiki na mtu sio rahisi akukubali au mtu hajavutiwa na sura wala tabia sasa ajilazimishe tu??Huo ndo ukweli pengne umeshapata mwenye pesa zaid ni lazma unione chokoraa
Sent using Gun Trigger
Ahah! SawaTunahonga kulingana na ukubwa wa tako na uzuri wa sura.
NitakwambiaMeaning??