Nyungu nyungu
Senior Member
- May 6, 2020
- 106
- 56
Tatizo kubwa wanawake wengi hawajuhi nn wanaume wanataka toka KwaoKatoto kazuri what a man needs is peace, mpe amani mumeo, mheshimu saana pengine kuliko wazazi wako, wapende sana ndugu zake, usimchunguzeeeeeeeeee, mfanye kama mfalme. Mbali na hayo, **** him anytime tena usisubiri akuombe. In short mfanyie umalaya wote unaoujua wewe ili akitoka nje asione jema zaidi yako. Mamaaaaaa, jiweke sopsop mda wote sasa hapa ndo mnafeli, mwanaume wako anarudi home anakukuta na dela aaaaghrrrrrr shwain tena umelichomeka kwenye pant hata haujaoga siku nzima wakati akitoka anakutana na wadada wameupars haswa. Acha tu tuchepuke
Nyie mnabeba Mimba miezi 9.....je sisi tunaobeba Pumbu Miaka nenflda Rudi....na tuko kimyaUnakuta wife ni kisu ila wewe kutwa kulana na wadada nje. Unakuta mke anakuhudumia ila kutwa kwa wengine.
Mpewe nini nyie mridhike kuwa mpo kwenye ndoa takatifu? Kwanini mnakwaza wake zenu wanaobeba mimba miezi 9 wanawazalia watoto kwa uchungu? Nini shida?
Semeni, hili ni jukwaa huru.
Haikumizi wewe unasubiri kizitoa tu kwa wanawake nawao wabebe miezi yoteNyie mnabeba Mimba miezi 9.....je sisi tunaobeba Pumbu Miaka nenflda Rudi....na tuko kimya
Mpaka sasa hamjatoa jibu la maana, ongezeni
Ni kweli, mfano mimi siwezi kumpa wife ambae nimezaa nae mic aimbe ila mchepuko utashika mic na kuimba kila tukikutana.
Tumeumbwa tu....Sasa kosa letu nini?USIOE MPAKA MWISHOO KAMA HUTULI
Sasa nini ushauri wako....sasa Ashakuwa bwawa....ungekuwa wewe ungebaki?....Goal likifungwa Lazima Ushangilie Kwenye kibenderaWanawake tunakoseaga kujifanya kuridhisha wanaume huku tunateseka bure, ni ngumu kumridhisha binadamu eti atulie never on earth, Bora kutafta furaha yako na yeye kuwa extra maisha ni haya haya, huku wanawake wengi hawaridhishwi na tendo wanaume wengi kutwa kuchepuka wanawake wametulia hawachepuki watolewe hamu vizuri na wanaojua show, wanalia kwa manabii, sijui mashekhe na waganga mwishowe wanaliwa tunda kimasihara tu nothing kilichobadilika, mwanaume akikuharribu uwe bwawa anaenda tafta mnato wewe wajiliza Liza huku hakuridhishi, shauri yenu nyie endelea kujipendekeza kufuraisha watu wazima msipo kufa siku si zenu, ukifata hii jamii eti mwanaume ni haki yake kuchepuka huku hakufikishi na ana kibamia na hapo before marriage wanawake majority hu date even more than 100 huku ndoani eti mvumilie?
Ni ngumu kumridhisha mtu mzima kwani wewe Mungu, maana huwezi kuwa perfect 100%
Me tooMimi mwenyewe sijawahi kujua nataka nini kwa mwanamke, nikipata mfupi najiona Kuna kitu namiss natafuta mrefu, nikipata mrefu nataka mwenye tako, nikipata mwenye tako nataka mweupe, yaani ni shida tupu na ni nadra sana kupata sifa zote unazotaka kwa mwanamke mmoja
Swali zuri....kwanza kumuoa tu anatakiwa amshukuruWote waliokupitia hawakuridhika na wewe ?
Hamjaumbwa hivyo..Ndio na sisi tukitafta watu tofauti mtulie
Na bado utahangaika sana kama hujajua unachokikosa hata tukujazie magunia ya wanawake huwezi tulia.Jitafiti unatafuta nini, unataka nini kwa mwanamke? Kama ni just ngono mbona hutosheki? Ni nini hicho??
Ukiweza kusolve puzzle you are done with utumwa wa ngono.
Hii si unaanza ukiwa mkubwa....Sisi Pumbu tumezaliwa Nazo na zinaning'inia na tutakufa Nazo....ushaona siku tunalalamika?Hivi wanaume mnajua watoto tokea mimba mpaka ampate mpaka akue ni mchezo nani amewahi experience shida kama sio wanawake unamnyonyesha mtoto anakunyonya kama mbwa .
Halafu umuogeshe umpe services zote .
Bado ukija akupikie ule akupe attention kweli yote?
Ni raha kwa mwiliMtu kaoa juzi tu hata wiki mbili hazijaisha,Anatongoza na kutoa ahadi kedekede,
Lakini ukweli ni kwamba yupo kwenye ndoa,
Mie najiuliza tatizo ni nini hasa kwa hawa kaka zetu?
Kutulia na mke mmoja hamuwezi?
BADILIKA TAFADHALI.
Hahaha aseeeWadada ndo kuzidi manake hata wakiwa kwenye ndoa wanasema wako single. Na ukiwatongoza hawakatai.
Mkuuu!utamu.....
Hahahawengi wa wanaochepuka huwa wana dushelele kuanzia nchi 6.5 na kuendelea
fuatilia hii case study utaniambia kuwa ni kweli.
yani ukishasifiwa tu na Munkari, basi utataka ichana, sweetlicious, preta, karucee, na king'asti wajue!
lazima uchepuke tu kutangaza ubingwa..
miss you to my dia....