tian JF-Expert Member Joined Jul 27, 2007 Posts 1,770 Reaction score 538 Apr 7, 2014 #1 Mtu kaoa juzi tu hata wiki mbili hazijaisha,Anatongoza na kutoa ahadi kedekede, Lakini ukweli ni kwamba yupo kwenye ndoa, Mie najiuliza tatizo ni nini hasa kwa hawa kaka zetu? Kutulia na mke mmoja hamuwezi? BADILIKA TAFADHALI.
Mtu kaoa juzi tu hata wiki mbili hazijaisha,Anatongoza na kutoa ahadi kedekede, Lakini ukweli ni kwamba yupo kwenye ndoa, Mie najiuliza tatizo ni nini hasa kwa hawa kaka zetu? Kutulia na mke mmoja hamuwezi? BADILIKA TAFADHALI.
ICHANA JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 4,765 Reaction score 3,596 Apr 7, 2014 #2 Tatizo ni ukitombi Tabia yake mbovu hat hizo ahadi ni ndoto tu kutimiza
Tyta JF-Expert Member Joined May 21, 2011 Posts 12,767 Reaction score 10,536 Apr 7, 2014 #3 ulimuuliza dini gani tian>?
Nilufer JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 9,760 Reaction score 14,005 Apr 7, 2014 #4 Eti wanadai njia kuu ina foleni .....
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,363 Apr 7, 2014 #5 Eti wanasemaga ndo asili yao kuwa na michepuko!!
Mashaxizo JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 6,707 Reaction score 3,355 Apr 7, 2014 #6 Mazoezi muhimu jamani!
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,363 Apr 7, 2014 #7 DEMBA said: Eti wanadai njia kuu ina foleni ..... Click to expand... ha ha ha nimekumiss!!!
g click JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 2,427 Reaction score 510 Apr 7, 2014 #8 Sio wote hulka tu ya mtu
J JOSE MOURINHO JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 231 Reaction score 74 Apr 7, 2014 #9 Abaki njia kuu amekuwa lori
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,519 Reaction score 7,287 Apr 7, 2014 #10 Wadada ndo kuzidi manake hata wakiwa kwenye ndoa wanasema wako single. Na ukiwatongoza hawakatai.
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,675 Apr 7, 2014 #11 utamu.....
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Apr 7, 2014 #12 Tubadilike au huyo rafiki yako abadilike?
Mashaxizo JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 6,707 Reaction score 3,355 Apr 7, 2014 #13 Tyta said: ulimuuliza dini gani tian>? Click to expand... Huu udini umeuanza lini Tayta? ... Hivi ni watu wa dini gani hawachepuki?
Tyta said: ulimuuliza dini gani tian>? Click to expand... Huu udini umeuanza lini Tayta? ... Hivi ni watu wa dini gani hawachepuki?
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,434 Reaction score 17,862 Apr 7, 2014 #14 wengi wa wanaochepuka huwa wana dushelele kuanzia nchi 6.5 na kuendelea fuatilia hii case study utaniambia kuwa ni kweli. yani ukishasifiwa tu na Munkari, basi utataka ichana, sweetlicious, preta, karucee, na king'asti wajue! lazima uchepuke tu kutangaza ubingwa..
wengi wa wanaochepuka huwa wana dushelele kuanzia nchi 6.5 na kuendelea fuatilia hii case study utaniambia kuwa ni kweli. yani ukishasifiwa tu na Munkari, basi utataka ichana, sweetlicious, preta, karucee, na king'asti wajue! lazima uchepuke tu kutangaza ubingwa..
Nilufer JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 9,760 Reaction score 14,005 Apr 7, 2014 #15 utafiti said: tubadilike au huyo rafiki yako abadilike? Click to expand... shem vipi ww? Wote wenye tabia kama hiyo wabadilike...
utafiti said: tubadilike au huyo rafiki yako abadilike? Click to expand... shem vipi ww? Wote wenye tabia kama hiyo wabadilike...
Nilufer JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 9,760 Reaction score 14,005 Apr 7, 2014 #16 miss you to my dia.... Munkari said: ha ha ha nimekumiss!!! Click to expand...
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Apr 7, 2014 #17 DEMBA said: shem vipi ww? Wote wenye tabia kama hiyo wabadilike... Click to expand... Shem wangu sijui umepotea wapi??? Kila nikizoom sikuoni shem, mzima???
DEMBA said: shem vipi ww? Wote wenye tabia kama hiyo wabadilike... Click to expand... Shem wangu sijui umepotea wapi??? Kila nikizoom sikuoni shem, mzima???
Vituka JF-Expert Member Joined Nov 9, 2011 Posts 2,268 Reaction score 1,267 Apr 7, 2014 #18 Hilo ni janga jamani. Kweli wanaume wabadilike na huwa sifahamu kwa nn wanaoa Kama hawawezi kukaa na mwanamke mmoja
Hilo ni janga jamani. Kweli wanaume wabadilike na huwa sifahamu kwa nn wanaoa Kama hawawezi kukaa na mwanamke mmoja
Daud omar JF-Expert Member Joined Apr 4, 2011 Posts 2,458 Reaction score 986 Apr 7, 2014 #19 Here we go again....
Nilufer JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 9,760 Reaction score 14,005 Apr 7, 2014 #20 bukheri kabisaaa.....shem wangu utafiti said: Shem wangu sijui umepotea wapi??? Kila nikizoom sikuoni shem, mzima??? Click to expand...
bukheri kabisaaa.....shem wangu utafiti said: Shem wangu sijui umepotea wapi??? Kila nikizoom sikuoni shem, mzima??? Click to expand...